@lightcasttvkenya: "For the last 4years hakujakuwa na migomo ya walimu na daktari; lecturers wanataka kugoma juu ya mambo waliuliza Uhuru 2017; wanataka nisuluhishe!"~Ruto
Yoh tangu nijoin campus kumekua na mgomo every year sahii nko third year 😅 kwani the last four years haziko inclusive ya my three years doctors have also been on strike
2026-10-01 20:28:17
0
Apollo 0817 :
true hakujakuwa na migomo ya madaktari...
2026-10-01 18:37:56
9
pablo lee :
allow download bana
2026-10-01 18:34:35
0
Boniface Mutinda :
compromised unions...
2026-10-01 19:37:49
3
Chriscon :
RIg leta ukwelii version ya hii😂
2026-10-01 18:57:59
2
NYOKABI 🎀 :
2026-10-01 18:58:51
3
☫𝑯𝒊𝒅𝒅𝒆𝒏 𝑬𝒄𝒉𝒐𓀎 :
usishughulike na sisi,,tuko sawa,,
2026-10-01 20:53:43
2
Brighton :
pllzz msikue na haraka cc tuko sawa 😅😅
2026-10-01 20:51:21
1
Kîbêt kêvõø :
lakini usilipe kina wesonga,,,,nishaenda ushago plz 🙏🙏🙏
2026-10-01 19:51:21
1
Kevo :
apana watupee wiki mbili Tu bhc usiwalipe saii
2026-10-01 20:55:42
0
Jimmy James :
usiniulize
2026-10-01 19:59:24
1
Geophrey Henry :
Ushasema mkuu
2026-10-01 18:25:47
3
Okwili Tha Son :
Rais wewe katika awamu yako hii ya urais tumeshuhutia migomo mingi sana kuliko awamu ya ma rais watangulizi wako, shida iko wapi rais ruto?
2026-10-01 18:44:05
0
Meja :
2025-2029 CBA si ya sasa aje msee😅😅
2026-10-01 20:39:13
0
Erick :
2026-10-01 20:15:50
0
kip :
Sasa nangoja strike alfu huyu anasema kuongea 🥺🥺
2026-10-01 20:01:45
0
@syly :
but ulikuwa deputy my Friend🫴
2026-10-01 21:00:16
0
꧁༒☬ R O D G E R ☬༒꧂ :
Wacha Kwanza kuwalipa mm nimefika kwetu 😂😂😂😂
2026-10-01 20:57:50
0
kisii queen🥰 :
lupa tu next year
2026-10-01 20:10:17
0
C. ❤️. J$ :
Who was the deputy president at that time???
2026-10-01 20:02:05
0
ØÇS WÃ ÑÃKÛRÛ✅✅ :
our King 👑👑👑
2026-10-01 18:35:22
0
To see more videos from user @lightcasttvkenya, please go to the Tikwm
homepage.