@pascal.kahigi:

Pascal Kahigi
Pascal Kahigi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 19:20:02 GMT
197763
7418
1059
1742

Music

Download

Comments

aminamgoye513
Ammy Babe 🥰❤️ :
hizo ni kwa ajili ya viongozi wakubwa wa nchi😂😂
2026-10-01 21:27:28
369
victornassary9gma
toxic boy💀💀 :
inaweza isitue kabisa 😂😂😂
2026-10-02 06:26:03
124
user4885998841153
Man boy :
kuna kufa alaf kuna kutoka roho....me naona nikipanda natoka roho
2026-10-01 22:02:53
209
king_is_cash
Kendrick :
Mara paaap!!! kanaruka tyre limechomoka msiba tunao hatuna 😂 washanikosa hata lift hapn
2026-10-02 01:59:51
129
annajulius12
nana :
jina la rubani tafadhali😂😂😂😂nisije endeshwa na akina kevoooo
2026-10-02 05:55:06
120
rehemaphilbert
Rehema philnert :
hahaha [Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-02 13:44:13
0
allyrocky577
Ally Rocky🇹🇿 :
[Laugh approved][Laugh approved]ilaa wa bongo
2026-10-02 06:40:20
0
user34971443158126
tina :
oya nimepata wazo mbon wanaosafiri na ungo hawapatagi ajali😃😊
2026-10-02 03:49:05
52
nzota255
🦋Emmy🌺 :
hii nchi kuna sehem imetobokaaa wallah [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-02 03:36:27
3
georgepeter300
Mr George paul :
Siku ikija KIGOMA Naomba mniambie maana nisije kata tiketi nikawa mfano kwenye vitabu Vya history mashuleni 😅😅😅😅
2026-10-02 09:33:13
22
skudu.makudubela4
skudu makudubela :
kwanz jina fundi ni Nan??
2026-10-02 09:25:06
19
user2954497538521
Sophia lyamba :
hatuamini vyakwetu😄😄
2026-10-01 21:58:57
22
king.sudy33
King Sudy :
inapaa juu san kwan
2026-10-01 21:28:04
20
sarah.sandraa0
Sarah Sandraa :
kwa heshima ya viongozi wetu apande mama samia kwanza
2026-10-02 10:37:13
17
user1718614903284
chabi :
Acheni kujidharau vingapi vinatengenezwa apa na vina ubora
2026-10-02 05:20:42
11
neema.magaye.3
neema magaye 3 :
nilikuwa zangu kutalii kwenye comment aisee[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 05:05:03
3
cheermabindo01
just_call_cheer :
Mi sipingi vya kwetu nitapanda ila ikianza kupaa tu nami naruka nje hapo hapo kuuu 😆😆
2026-10-02 05:05:22
21
mwana4380
Officialmwana❤️ :
Ila comment 😂😂😂🙌
2026-10-02 13:55:23
0
user2350305297321
neylov :
hii haifiki mbali inatua msitu wa msimbazi😂
2026-10-02 12:19:40
5
richard67333
Richard :
itabidi abiria wavalishwe parashuti kabisa kabla ya kupanda.
2026-10-02 04:17:42
49
tinacornel
@linnshhaaly346 :
nitaenda na farasi wa osmani ukwel Arusha sio mbali kama mnavyofikiria tuheshimiane kbc
2026-10-02 08:21:21
5
ibinsydmtaya
The point of no Return⚙️ :
kama elnino inakuja si bora tupande mazao yenye kustahimili mvua nyingi kuliko kupanda hii ndege
2026-10-02 08:43:11
6
yohane.andrew8
lonely¿ :
utasikia tu injini ilidondika ilipofika mita10
2026-10-02 05:00:44
6
abuu468
APEX COSMETC & PERFYUME :
Wanataka sasa kutuua kisa tumegoma kulipa deni nyooo
2026-10-02 04:00:00
25
baraka.shirima88
FALME ZA KICHAGA :
Nchi ipi hii tz au
2026-10-01 20:39:42
11
To see more videos from user @pascal.kahigi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About