@enockfugo985: #TakeAPhotoToSeeWhatSoundYouGet

MR HEKIMA & BUSARA | TECH
MR HEKIMA & BUSARA | TECH
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 20:04:41 GMT
42494
1008
49
54

Music

Download

Comments

smiletuke0
Smile ke top fun :
hua na ota Nina twin sister
2026-10-15 16:39:52
0
babyree343
zenasanga :
nimeota fisi nyumbn wakitembea maana ake nn
2026-10-07 15:15:02
0
user6289869373966rose
user6289869373966elizabeth :
mimi naota nafanya mapenzi nikiwa kwenye ndoto najisikia ule muhemuko laki nikifanya tendona mume wangu kawaida sijisikiihamu kabisa nakuwa namkavu lakin kwenye ndoto najisikia raha
2026-10-15 14:07:02
0
lilianmasika460
♥️♥️JAYDEN♥️♥️ :
mie niliota mtoto wangu amepotea namtafta ady kw briefcase za manguo n simpati
2026-10-14 02:27:27
0
mrs.j0074
baby queen ❤️👑 :
Mimi nimeota Nina watoto mapacha siku ya piili nikaota Nina mtoto wa kike hiii inamaan gani
2026-10-13 17:46:51
0
ajuna856
Ajuna💫🤎 :
iyo ya kwanza sjaielewa maana nimeota nipo baharini na nina furaha sjh ina maana gan nisaidie kunielewesha please
2026-10-11 07:13:09
0
lizzypendo7
lizzypendo7 :
ikiota kw ndoto ukigusa mfu anaamka tena inamaanisha nn
2026-10-14 20:42:43
0
barasatobias377
weka weka :
hello
2026-10-04 18:32:29
0
user1611594613202
user1611594613202 :
niliota nalokota pesa nyingi halafu baada yakuokota pesa kufika nyumbani kwangu nikekutana na ndizi ambazo zimeivia sana yulu yamuti nikachukuwa izo ndizi
2026-10-02 06:08:19
0
habiba7251
Habiba :
najee kuota upon makaburini
2026-10-02 16:41:11
0
user920316900729
m͜͡a͜͡ma moha :
je kuota unaziona dhahabu
2026-10-10 23:52:38
0
user8154900513574
pretty G😜G :
na ukiota unaitwa usiku na sauti unazo zifahamu
2026-10-02 16:15:18
0
chiqa32
👑CHICH PA ℍ𝔸ℙℙ𝕐🇰🇪🇳🇴ℂℝ𝔽 :
kuota umepotea mahali unapopajua kabsa like hufiki unapotea njia
2026-10-03 14:28:22
0
mama.jay969
Mama Jay💕👌 :
mdogo wangu aliota mtoto wakike kafariki yuko ndan ya jeneza
2026-10-07 09:56:19
0
realfin7
JOH :
kuota ndoto umeokota kipande cha malumalu katika kukifanyia uchunguzi unakuta ni dhahabu
2026-10-09 20:09:42
0
dypru
dypru :
na ukiota kuwa Kwa kina mpenzi wako Kuna majumba mpya Moja ni rangi nyeupe na ingne Bado ni tofali alafu kumtafuta penye Ako nkapata nyumba Ako ni wasiwasi inakula matawi kma dawa mbichi ivi ya green alafu hakuwa sawa kabisa..iyo inaa maana gani
2026-10-03 11:32:21
0
officialhellen8
Miss February 🌹🌹 :
me niliota nimeenda kumtembelea rafiki yangu, ila nilipofika mtoto akawa ananililia nikaanza kuomba mtoto ni mubebe, ila me huyo rafiki yangu hana mtoto, inakuwaje naona mtoto kwenye ndoto
2026-10-04 10:31:31
0
barasatobias377
weka weka :
hujambo je ukiota ng'ombe anakufukuza lakini ashindwa kukupata na uamke uzingizi inamaanisha nini wenzangu?
2026-10-04 18:32:12
0
user1984191680823
user1984191680823 :
kutoa unakimbizwa na tembo inamaanisha nini hiyo ndoto
2026-10-02 12:30:17
0
user4219803413972
wolf2727 :
mimi nliota namwambia baba yangu changamoto zangu za kifamilia na alishafariki miaka10 iliyopita
2026-10-02 10:09:23
0
officialsharon02
SharonKennedy💝 :
mimi asubuhi niliota mtu akigonga mlango lakini hakuongea na nikaamka
2026-10-02 18:10:10
1
user93748522971525
@v money💰 :
jmn me naomba unisaidie naota naongea ulimi unagandamana unakua mzito nashindwa kuongea
2026-10-02 15:54:25
0
user9854557240245
phenilah724 :
nauliza hamjibu
2026-10-02 12:53:02
0
user6914811798310
WA MIMI❤️ :
na Mimi hua naota ,,shosho aliyeanga 5yrs ,, naota ndio ametolewa mochari twalia Tena na tuko katika mazishi yake😭🙌,, continue rest in peace shosho
2026-10-02 12:49:49
0
mercy.ivy68
toto mish :
je ukiota bwanako anakiss mwanamke mwingne mbele yako ina maana gani
2026-10-11 15:53:09
0
To see more videos from user @enockfugo985, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About