@talkboutitwithconradley: Acheni kucheza na hisia za watu. #njootuzungumze #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #talkboutitwithconradley #creatorsearchinsights

talkboutitwithconradley
talkboutitwithconradley
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 03:30:00 GMT
116504
7086
352
647

Music

Download

Comments

baby.j061
Baby J🥰 :
mwenye namba ya mganga mzuri jaman naomba sitaki ushauli tafadhali
2026-10-02 07:41:31
50
mamymaa1
Mamymaa :
Me smrongii ila Mungu hulpa hapa hapa dunian
2026-10-02 06:19:44
70
shuryacute6
❤️❤️❤️ :
Mimi nilikaa nae miaka 6 akampa mwanamke mwingine mimba nikamsamee tukaendelea ila aliniblock gafla na sio kuniblock tu akawa anamtuma yule mwanamke wake aje kunitukana ila wanaume🙌
2026-10-02 07:37:47
22
dee.brand47
Dee brand🦋 :
Me sikurogi ili uendelee kunipenda ila kipapai chake mbn utajuta😅
2026-10-02 06:15:40
19
user46562201458000
merry🦋🦋 :
mimi nilimuachia mungu ety muda wangu wa kuchezewa umeisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-02 05:06:35
39
irienatural.black
Irienatural Black :
Ila mm sijapata mgangaalisi yy Na uko wakewatokaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 06:24:03
0
oggidjalia
djalia :
Jamani Nariza ukimuroga kunazambi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 05:38:18
1
agnes_12shayo
Agnes shayo :
wala hajuna haja ya kumroga ww mwachie MUNGU tu!!! aisee utanishukuru badae
2026-10-02 06:17:02
15
caty_kido
🦋Cattie🦋 :
Dah nivile sijapata mganga mzurii ila siku nikipata mganga mzuri watamuokota🥺
2026-10-02 07:17:47
12
linahkepha02
Linah_Kepha02 :
nilie kwa kukaa au kwa kusimama mimi mia 7 ya msoto alipojipata tu et mm sio type yake 😭😭😭nyie mi nmemwachia mungu
2026-10-02 07:19:24
12
cutiegreys_155
😊💕 :
datc wat happened recently 😕 😢.....yooooh
2026-10-02 06:31:50
1
mwajumanachinguru
libra for life :
mungu awalinde vijana wangu wawe watu wema kwa wake zao
2026-10-02 04:59:50
33
joyleen155
joyleen155 :
sas kama simfai jmn asiseme😂😂😂 nachoka mieee
2026-10-02 09:14:06
0
sasha.gm3
my love sashaaa :
Nielekeze uyo mganga Kuna mtu anacheza na maisha yangu huku ananiona me mpira wa rede
2026-10-02 07:08:23
5
iam_mystiquee
🦋Mystiquee🦋 :
nilimuachia Mungu now nishazoea niko sawa🥰🥰
2026-10-02 08:07:08
6
mbishi09
khadija :
😭😭😭😭 kwn mungu upo wp naomba nisiongee sana nitakufulu subra inachelewa jamn nifnyaje mm kampa mwanamke mimba na anampa kila ktu wakt mm ndo nmemuinua ad alipofikia Leo ananiambia mm sfai 😭😭mungu upo wp utu upo wp uruma IPO wap aliepewa mimba yupo
2026-10-02 06:54:05
6
angelmwandolela
baby angel💞 :
ishawai kunitokea iih kitu yaan nihisi kuchanganyikiwa coz nilikataa watu wengi sanaa tena wamaan kuliko hata yeye
2026-10-02 05:42:27
7
sabestina3
Tina :
maombi ndokituchamsingi
2026-10-02 06:25:19
7
user680751967397
zawadi :
sio 7 tu miaka 30 uko nae halafu inatokea tu ana kuambia hivyo
2026-10-02 04:27:52
14
user38279398308745
Onyinye :
kunywa soda nitalipa
2026-10-02 05:15:55
11
pascal.ivan6966
pascal ivan :
uyooo mganga naombeni namba zakee bhnaaa🥹🥹🥹
2026-10-02 05:03:06
7
edina.kyando
V Money :
Uzuri malipo ni hapahapa dunian Mbinguni tutaenda kutoa hesabu tu
2026-10-02 04:38:09
8
officialjc14
official Jc :
mungu ameweka kusudi ndani yako Brother God bless you
2026-10-02 03:47:38
7
hamyda.g.love
Hamyda.G.Love❤️ :
Hii inachoma kama pasi
2026-10-02 03:53:49
6
lwizakasoni
Lwiza Kasoni :
me miaka 7 akanipa na mimba baadae akasema siwezi owa mfipa na mtu mwene sio mwajiliwa serikalini nipo nalea mtoto wak
2026-10-02 04:49:35
11
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About