Nikweli kabisaaa watu tumekuwa wavivu kumwomba mungu tunataka kutendewa tuu
2026-10-02 06:49:25
10
neema :
kwel kbsa mm kila siku huwa nasema mungu upopote umombapo akujibuh ni ww tu na imani yako yann kuangaika mm ntabaki Catholic forever MUNGU ANISAIDIE[Pray][Pray][Pray]
2026-10-02 14:37:21
0
Xhakce06 :
Dad umekataa kudanganywa
2026-10-02 08:20:46
1
ELIAS NGEREZA :
yaaan Dunia ya Leo mtu mwenye art ya kuzungumza hata Kama anazungumza kitu Cha kipuuz watu Wana sapot,but ukweli nikwamba,kila mtu Asome Neno vzr,na aombe maongozo ya roho mtakatifu,haka kadada hakajui SEMA kajuaji Sana 😁 so unapingina na zile huduma 5 za Mungu,utume,unabii,uchungaji,unjilisti ,uwalimu! watu Wengi wasiojua Bible vzr wanapiga Vita hizi huduma2 zajuu,unabii na utume,pia hayo makanisa unayo Sifia yanaongozwa zaidi na mapokeo ya kidunia Wala sio roho mtakatifu,SEMA jitahid kusoma Neno!
2026-10-02 08:53:14
2
vee :
dada ushasema imani yako inakuponya..bas endelea na iman ako achana na wengne
2026-10-02 10:09:32
0
lilltle r :
we dada kunywa soda nitalipa
2026-10-02 09:49:46
0
upendo yeremia :
muñgu akulinde ety maan akina kawe na kivule wakisikia hii wasije wakakuua jamn dam ya yesu ikufunike
2026-10-02 11:26:40
0
To see more videos from user @maishakusaidiana92, please go to the Tikwm
homepage.