@defeiblox: #creatorsearchinsights #roblox #viral #fy #squidgame

defeiblox
defeiblox
Open In TikTok:
Region: BR
Friday 02 October 2026 02:48:40 GMT
42
0
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @defeiblox, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Muhannad Al-Hasani, mwenye umri wa miaka 14 kutoka Kambi ya Wakimbizi ya Jabalia, Gaza, anaripotiwa kuwa alifanikiwa kuhifadhi Qurani Tukufu nzima ndani ya siku 26 pekee, mwaka 2015, kupitia programu maalumu ya kuhifadhi Qurani iliyojulikana kama Mukhayam Al-Nukhba (Kambi ya Wasomi). Kwa mujibu wa taarifa hizo, Muhannad alifuata ratiba maalumu na yenye nidhamu katika Msikiti wa Al-Awda Ila Allah, ambapo alikaa hapo kuanzia Swala ya Alfajiri hadi Swala ya Alasiri. Kila siku alihifadhi takribani kurasa 25 za Qurani, kisha akazisoma mbele ya mwalimu wake kwa ajili ya kusahihishwa na kuhakikiwa. Mafanikio hayo yalivutia umakini wa vyombo mbalimbali vya habari vya Palestina na ulimwengu wa Kiarabu, ikiwemo Al Jazeera Net. Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet#islamicswahilinet

About