@give_for_akhirah: 📢 Sh. 200,000 Pekee Zimebaki! Alhamdulillah, tupo karibu kukamilisha ununuzi wa ardhi kwa ajili ya msikiti wa Marigat! Changia Sh. 100 tu au zaidi kulingana na ulichobarikiwa nacho,na upate thawabu za kudumu za Sadaqatul Jariya. 🕌 Hii Ijumaa, nitatoa Khutba katika msikiti huu wa Azhar ulioko Marigat, in shaa Allah. Njoo tushirikiane kwa ajili ya nyumba ya Allah! 🤲 Tuma mchango wako sasa – tuumalize huu mradi kwa baraka #ukumbushowakiislamu #kenyanmuslims #SadaqatulJariya #muslimkenya #JengaAkhirahYako