@hearthaneef: Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta (Allah Amhifadhi) anatutahadharisha kuhusu hatari ya mapenzi kupita mipaka. Moyo ukiwa na ishq, unafanya mtu kuwa mtumwa wa kiumbe na inaweza kumpeleka kutoka katika dini na hata kuwa na hatari ya kufariki . Sikiliza darasa hili uone maana na hatari ya mapenzi kupita mipaka. 🧠✨ #HayaNdioMapenziYalivyo #SheikhAbulFadhli #Mawaidha #Ishq #MapenziYaMipaka