Why uje useme jmn....
Ila anyways kumbe mm sio chiz🙌
2026-10-02 05:02:11
2
Stan99 :
inner thoughts sometimes gets so louder 😂
2026-10-02 05:04:07
2
Alinda Felix :
conversation with one self inakusaidia hata kujizuia kuongea na watu/mtu ,u just realize it could've been a stupid move 🤣,or isn't worth it to begin with🫠
2026-10-02 07:28:13
0
sashar salim :
Kumbe tuko wengi
2026-10-02 05:56:20
22
Willie Kaba25 :
that's peace of mind na itakusaidia sana I also suffer the same mwaka wa tano huu sasa and its really helpful trust me😂
2026-10-02 05:29:08
15
Queen Steven :
Kuna hii campany ya holy spirit aweeeeeee nyie mi Nina raha sahv achaaaa 😂
2026-10-02 06:46:09
5
🌷🤍 :
Sasa mimi nikiona nashindwa kujizuia mbela ya watuu naweka sim masikion na pretend naongea na sim kumbe najisemesha
2026-10-02 07:39:28
12
Feminine ❤️🩹 :
Same situation 😂😂😂🙌
2026-10-02 11:36:49
0
🌷Peline🌷 :
bado hujakutana na mimi, ambaye najitungia hadi movie, panapotakiwa nilie nalia, pakucheka nacheka pakukasirika nakasirika usiombe mtu anifume, ninavyojibaraguza, eti najifanya nilikuwa naimba. Mimi huyoo 😂😂😂😂.
2026-10-02 11:04:55
4
Jennings|🌺 :
😅aaah finally I found my mate nlzani nmekuwa kichaaa 🥰🥰
2026-10-02 07:04:43
2
Cozy🎀 :
Nilikutwaa jaman hadi aibu😭😭😭
2026-10-02 09:56:14
1
edina kenani :
nawashangaa wanaobishi pekeyao wakisema hivi tukiachana hapa siongei tena mpaka kesho mm naongea guy mpaka najitukana😂😂😂😂
2026-10-02 09:03:05
2
🚩🖤 :
tutaponaaa tu mahiii😂😂😂
2026-10-02 10:50:38
0
Arapha2000 :
Huyooo ni mimi kuna muda adi najichekeshag
2026-10-02 08:57:57
2
cutesikaa :
Hauko pekeako dear😂😂
2026-10-02 05:37:43
1
meh❤️ :
😂😂😂Hahaha 😂 hii hali bora ikukute dar sio mkoan 😩😩tubeti tu 😂😂😂
2026-10-02 05:09:06
2
A_cyrash :
Bora wew mpk nyumbn mi hata baraban najisemeshaga😂😂😂 mim kupona ngumu jaman🙌🙌🤣
2026-10-02 07:26:35
2
AngelRose🌹 :
nilijua n mm uchiz wang labda
2026-10-02 06:23:55
2
Tripple D@💋 :
nakajua nmeanza kuchanganyikiwa kdg kdg
2026-10-02 06:44:21
1
da baby :
uwiiiiiiiii jamani nikajua niko mwenyewe
2026-10-02 07:39:45
1
MOMBASA.IN.DAR :
mimi adi nmekua bubu sasa najiongelesha kwa vitendo😂
2026-10-02 07:54:00
1
~🌸Mårgãh🌸~🤍 :
Nikajua me nimechanganyikw kumbe nipo sawa😂
2026-10-02 07:11:55
1
neilah :
kheee mm siwezi kuwa boad kbc yan niraongea mm na mm mbaka basi mbaka mm mwenyew aseme basi lala mm nime choka mwenzio😂😂😂😂
2026-10-02 11:35:21
1
Miss Mlay🤗❤ :
mie napenda 😂😂😂😂😂
2026-10-02 11:24:40
0
Miss Gyakie🥰 :
mimi bado tuh kujichapa nikikosea
2026-10-02 12:05:23
0
To see more videos from user @_falley, please go to the Tikwm
homepage.