@abdrash_: ❤️❤️❤️ 🤲🤲🤲

Abdrash
Abdrash
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 05:10:08 GMT
132570
12514
606
406

Music

Download

Comments

its_me_mehmet
Its Mehmet :
shekh sema nikutafutie pambano na mufti😂
2026-10-02 11:17:47
94
rafujutv
big dady :
kipenz cha waislm wa dar es Salaam
2026-10-02 09:46:31
127
esikey0g
Sophia Esikey 💥 :
masha.allah[Heartwarming]
2026-10-02 17:09:57
0
saphia.ngakonda
Saphia Ngakonda :
mashaalla
2026-10-02 06:51:21
1
shabb670
Janna :
Ila shekhe alisema tukifanya mazoezi na tusipo fanya tutakufa 2 ila haya ngoja na sisi tuongiye gym
2026-10-02 06:23:27
76
user9751581571454
Mimi :
Najua aiwahusu ila mtoto wakakangu kajifungua mtoto wakiume juzi tumemtaja jina Walidi
2026-10-02 12:49:51
45
merry4cus1
mery 4cus :
Kuna mtu amesema anamtafutia shekhe pambano na mufti
2026-10-02 11:47:25
17
user5824768131945
Aloka23 :
Vitu vya shangazi yangu Nyankumba, nyansure,
2026-10-02 08:23:51
13
isaanjiwa
issanjiwa :
muisilam lazima uwe fiti
2026-10-02 06:22:13
15
rahmayusuph865
odo rahma😘 :
we love you
2026-10-02 07:04:29
0
zaytuny13
Zaytuny 🦚 :
Sasa huyu akifanya hayo mazoezi akipata misuli huko DM kutajaa vipi 🤣🤣🤣🤣we love u daddy
2026-10-02 09:44:31
11
faudhia1538
faudhia :
aaaah kumbe shehe warid nilikua sijamjua maana sijawah kumuona kavaa nguo kama hizi
2026-10-02 07:03:24
15
rajabujaka677
Rajabu Jaka :
Shekh unanitisha[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 06:50:20
0
swaumtoth
swaum toth :
Ndo maana vijana wanamkubali sana shekh walid
2026-10-02 06:14:24
16
sadickramadanzube
DICKIE_CHAMA JR :
shekh wetu mungu akuzidushie ishallah tuombeane San shekh wet mwisho ulokua mwema
2026-10-02 05:49:33
37
azmasady3
azmasady3 :
Wallah leo
2026-10-02 10:21:46
0
justinacosmas
jumanasalma :
jamn Mashallah sheh wangu 🥰
2026-10-02 06:25:09
5
oman65175
Oman :
eeeeeeeeeeeeeehhhhhhh hayaaaaaaa
2026-10-02 06:11:41
2
joycemeyer2000
Joyce Meyer :
My love daddy wetu kipenzi sheikh wetu mpendwa mazoezi baba ni muhimu kwa afya 🙏
2026-10-02 08:09:45
10
adam.nyange
Adam nyange :
Allah azidi kumpa afya njema
2026-10-02 06:15:03
5
hamis.mwalimu
Hamis Mwalimu :
tumwandakie pambano na ma donga k.n
2026-10-02 07:05:24
5
zainabumajinji95
Zainabu Majinji :
Twakupenda shekh wetu. Allah akuhifandi
2026-10-02 06:16:37
7
rahmayassin698
🌹@Rahma msuya 🌸🫶 :
tunakupend sn ,uwish maish marefu kwaajil ya waislamu wote inshallah ♥️♥️♥️🩷♥️🩷♥️♥️
2026-10-02 06:49:19
7
sozzymzungu
Sozzy Mzungu :
Shekhe wetu 💯 Allah (s.w) akupe darja za juu zaidi
2026-10-02 06:08:47
5
ummy.tariq2025
UMMY TARIQ@2025 :
hakuna maisha mazuri ya duniani kama kuishi bila kuwa na uongozi wowote unakuwa huru na amani allaha adumishe amani Yako shekhe Bora wali dagaa kwenye amani kuliko walinyama kwenye kelele
2026-10-02 11:37:30
8
To see more videos from user @abdrash_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About