sasa wakifunga utamkomoa nani kama sio wananchi..??
2026-10-02 11:59:04
1
Hijaissa :
kaka eche leo wamachinga atutakiwi leo tuishi vp
2026-10-02 07:36:26
4
lugo :
Nchi hii Kwa sasa haitegemei sana misaada ya kimataifa hayo ndio mawazo watanzania tunatakiwa kuondokana nayo tujitegemee nchi inarasilimali za kutosha.
2026-10-02 07:17:18
1
sanga :
sana heche
2026-10-02 05:58:12
4
luwaga :
wafe njaaa au tufe sisi masikini na njaaa
2026-10-02 11:56:47
0
Godfrey Gumie :
kaka upo sawa Tanzania bla misaida hawezi kujiendesha wanaipiga sana ndoman wanakopa ili watu wpige
2026-10-02 08:27:20
3
jurias Donald makoro 737941 :
safi sana kamanda
2026-10-02 17:51:12
2
respickamenyaresp :
Asante
2026-10-02 07:20:50
2
laki lukosi :
safi t kaka tutaelewana
2026-10-02 19:05:45
2
oledamarago :
tuwafungie kwelikweli
2026-10-02 12:01:37
2
Haroub Suleiman :
tanzania haikushindwa wakati ule tukivaa mifuko ya unga wa ngano ishindwe leo inauchumi wa kati ,dunia ipi itakayokusikiliza wewe wakati mataifa makubwa wana interest kubwa kupitia ccm
2026-10-03 05:44:53
0
YUSUPH Njiku Mobile & Accessor :
vita muraaa
2026-10-02 10:10:47
2
Grace Joseph :
safiii babaaaa🥰🥰
2026-10-02 08:38:15
2
Sinkala. sinkala :
nasapot mkuu
2026-10-02 10:39:05
3
Kamle Shija :
amina
2026-10-02 06:52:16
2
ESIPATA MEDIA🌐 :
CCM hawana pakuchomoka 😂😂😂✌️✌️✌️✌️
2026-10-02 17:37:11
2
Joyce emily :
kumeanza kuchangamka
2026-10-02 13:39:26
1
Broni jofre Salele :
ccm hovyo kabisa
2026-10-02 14:28:05
1
oledamarago :
nakubali
2026-10-02 12:01:46
1
user4190484626615 :
kabisaa umenena ukweli kabisa
2026-10-02 07:47:03
1
michaelpain :
pambani
2026-10-02 07:44:22
1
SULEIMAN PILI :
heche huwezekan atakidogo
2026-10-02 10:46:04
1
Chesko :
😁😁 Asante sema hawajitmb wanaona mno
2026-10-03 19:45:02
0
Sir ng'ure :
yajayo yanafurahisha
2026-10-03 16:35:48
2
shamsaismaill :
hal
2026-10-02 06:50:48
1
To see more videos from user @likiiboympole, please go to the Tikwm
homepage.