@mrs.inno228: WATU WENYE OVERTHINKER PART 3 - MWISHO 😔💔 Hii ndio kali zaidi... No.6 na No.7 ni mimi kila usiku Kama unajiona hapa, wewe ni mtu wa thamani sana, usijilaumu 🖤 Tag mtu anayepaswa kuona hii 👇 #overthinker #fyp #tanzania #part3 #ukweli
usipost tena mada zet unatufanya tuanze kukuoveryhink🤔🙄
2026-10-04 06:08:30
6
Mrs Inno❤️🦋 :
Kuna Group la overthinker uko uta heal na kujifunza mengi karibuni
2026-10-06 07:35:06
7
Eva Mrema. :
asante kwa kutumia sauti yangu. next time please acknowledge Tu.
2026-10-02 14:04:07
5
ric ric :
number saba umekosea Mimi ni mmoja wao lakini apo kwa number saba ni uongo kabisa
2026-10-17 14:10:23
2
Salma org :
yani mimi niko ivyoivyo mpaka naumia sana sijui mnanisaidiaje jamani, mtu nikimtumia sms ndefu akanijibu sawa, powa, wakati alitakiwa atoe maelezo aisee huwa naumia vibaya sana na huwa nablock namba na baadae na unblock kisha namtafta tena, dah!
2026-10-16 04:50:56
1
reyfaith :
Ni Mimi huyu jmn
2026-10-02 19:50:21
2
azrah khan :
ni moj tu ndo sin apo 🤣🤣
2026-10-03 02:31:39
2
Mariam KamagiShoma's Family :
Kwanza mimi huwa naoteshwa kwahiyo kila kinachotokea huwa nakijua
2026-10-02 22:19:31
1
Jaylinah :
3 na 7 jmn
2026-10-02 07:24:22
1
Angel 😇💗 :
hizi tabia zote nnazo yan ni mm kabisa nahs na mm nitakuwa overthinker 😩
2026-10-02 06:52:08
2
CHOOSE OUTFIT👗🩱🛍 :
jaman hzo vitu niko nazo
2026-10-02 17:34:29
1
purelove49 :
akil yang aijawah.kuniongopea 😂😂😂
2026-10-02 12:07:28
1
sarahkim :
muandishi ndio muhusika mkuu
2026-10-02 09:54:51
1
nazah John 💥💙🩵 :
kuna dawa munipee😫😫
2026-10-02 13:16:00
1
☕︎ 𝑪𝒐𝒇𝒇𝒆𝒆 :
Ndo umeamua kunsema 😂
2026-10-02 18:29:54
1
hajest jb :
mm namba 5 dahh hya majibu sichukui
2026-10-02 16:21:10
1
Miss luck!e_01 :
chat gpt alisema nn ni CEO wa overthinker😂
2026-10-02 21:25:50
2
🤍Ms_only🧚♀️🦋 :
na tunavyofikiri ndivyo vinavyotokea
2026-10-02 12:00:12
2
elbie jr :
najichukia nilivo💔
2026-10-02 20:42:52
2
hairbyunnah :
No 2🥹af nikikaa kimya naumiwa coz nnamajibu af siwezi kuongea🙌
2026-10-08 23:38:26
1
misslonely💘 :
huyu ni mm kabisaa dsh
2026-10-05 20:21:05
1
🇰🇪🇵🇸🇶🇦🇪🇷🇬🇲🇿🇦😜😜😜 :
huyo.nimm.hii.ali.meniteza.sana😥😪
2026-10-07 03:09:02
1
Nasra Why G :
mbn km mm nizaid 😳😳
2026-10-02 21:55:28
1
To see more videos from user @mrs.inno228, please go to the Tikwm
homepage.