@chalupah_jr: Simba wanaitaka derby tarehe 10 @simbasc @yangasc @Ligi Kuu @FIFA World Cup @football @worldfootball @Wasafi Media #creatorsearchinsights #foryoupage #yourusername #viralvideo #viral MNIFOLLOW JAMAN 🙏💪
ni kweli Simba wanaitaka dabi ila imani yao juu ya hiyo march hofu moyoni ni kubwa na sio simba tu hata yanga was anahofu ila ukweli utabaki dakika 90.
2026-10-02 08:31:47
3
TZ FACT :
kwahy yanga gar lilikuwa limewaka
2026-10-02 09:17:42
2
Binarah Hassan :
dk 90 ndo jibu la yanga
2026-10-02 08:45:16
2
josephshewali316 :
umemsikia edo ety hakuna kilicho badilika na tushacheza na yanga😆
2026-10-02 11:01:19
1
Fakhady ayman Fakhady :
kabisaah
2026-10-02 08:01:16
0
khalfan daud :
we kuwa yanga kama Oscar alivyosema
2026-10-02 08:45:21
2
mourinho mashoes :
imekamilka gan
2026-10-02 11:22:37
0
emanuelmahemba :
kumbe niwateja
2026-10-02 11:48:19
0
user4710656237591 :
Kumbuka siyo mara zote Simba imefungwa kwa uhalali, ni dhuluma za waamuzi wa maelekezo. Kushinda kwa Simba inatakiwa kufunga magoli ya mbali bila mchezaji mwingine wa Simba kuwa mbele vinginevyo goli litakataliwa. Nasema magoli ya mbali kwa sababu mchezaji wa Simba akienda na mpira kupiga chenga hadi golini ataangushwa kabla hajapiga shuti ya mwisho na hakuna hatua itachukuliwa hata kama ni kwenye boksi au ndani ya 18. Pia rafu yoyote itakayochezwa dhidi ya wachezaji wa Simba haitachukuliwa hatua yoyote hata refa akishinikizwa kwenda kuangalia FVS na pia refa anaweza kukataa kwenda kuangalia FVS kwa mfano kama mechi ya Simba na Azam. Ila rafu au kiashiria chochote atakachocheza mchezaji wa Simba hata kama siyo rafu kamili, hatu kali itachukuliwa. Na refa atakuja na vitisho dhidi ya wachezaji wa Simba ili kuwatoa mchezoni.
2026-10-02 12:00:29
0
Dedidya :
Mimi ni Yanga lakin ile Siku Ya Ngao ya Jamii wachezaji walitia huruma hadi niliumia nikasema next time Bas nawaombea Simba washinde angalau kufuta rekodi mbaya na aibu ya kufungwa kila mara ila Mlivyo na Mdomo Simba nabatilisha maombi yangu mpigwe hata goal 5
2026-10-02 11:49:55
0
deey💘💘lover :
tuseme nin sis wenye 10%
2026-10-02 11:31:10
0
R.S.S .KN 🇹🇿🤑💚 :
yanga bingwa
2026-10-02 10:40:48
0
katwe :
ikitokea simba akafungwa tn kwa idadi yyte ya magoli hali itazidi kuwa mbaya msimbazi na ndio itakua mwanzo wa kupoteza hata game zitakazokuja
2026-10-02 10:14:04
0
Monica T.G :
wachezaji ndo walewale
2026-10-02 09:08:07
0
Abu Aasim :
Wa Kwanza
2026-10-02 06:30:07
0
WEST ELECTRONICS :
kuliko yanga
2026-10-02 06:47:50
0
Aztec Tesha :
Oscar sevu hii,,,,Simba kumfunga yanga ni sio story,,,ila Yanga kumfunga Simba tena ni historia mpyaa rekodi mpyaaa😂😂
2026-10-02 09:43:32
0
🦋Ney🦋 :
Tuseme mim wakat tumepewa asilimia 5
2026-10-02 12:10:31
0
user2969385518005 :
HATA YANGA WANAITAKA HIVO HIVOO KAKA WEWE USIWE HIVOO NA NAKWAMBIA HIYO MECHI INSHAALLAAH YANGA WANASHINDA BIIDHNILAHII
2026-10-02 09:02:27
1
App'e Jr🐊24🇹🇿🤫😎 :
Wanakwenda kuuumia wa 🦁🦁🦁 yanga sio Azam wala might wonders broo 😎🫵acheni kuafuata upepo kama bendera mtawapoza wagawa utamu 😅🤣😂🤣
2026-10-02 08:39:00
0
Kenan :
Simba haitaki watu ambao Moyo wao Unasita sita
2026-10-02 09:36:15
0
sabe ferex :
nyie kila siku wanafuta uteja
2026-10-02 06:19:33
0
To see more videos from user @chalupah_jr, please go to the Tikwm
homepage.