Allah amrinde na kumkuza katika malezi ya kumpendeza Mungu.Inshaallah
2026-10-02 14:19:26
26
user7612182124330 :
walladun swaliha
2026-10-02 17:08:26
0
ravmin the romian :
Nimelia wallah 🥹
2026-10-02 16:29:51
0
💝qadrati❤💞 :
mashaallah umenifany nimelia😭😭
2026-10-02 15:35:02
0
Loveminah❤️ :
Ya Allah jaalia kizazi changu kiwe miongoni mwa vizazi bora inshallah
2026-10-02 09:39:35
31
ruckiyah ❣️ :
Hadi nimelia
2026-10-02 17:07:24
7
SHS❤️SALON❣️ :
Natamani nijue anacho mwambia 🥺🥺
2026-10-02 10:46:31
6
._bellah♡ :
next part 2
2026-10-02 11:23:35
0
Bea-rousy :
Mashallah mwenyezi amjalie wepesi mtoto huyu.amin
2026-10-02 19:39:58
1
Kihiyozdaughter :
Amemmiss Mamaake maskini...Mungu nijaalie kizazi chenye jheri na mm
2026-10-02 12:48:05
9
zubeda🥰🥰 :
adi nimelia
2026-10-02 06:51:03
0
Aisha zuu :
eeeeh yarabi mfanyie wepesi katita magumu yake
2026-10-02 16:47:23
1
Sur User :
maskini amemiss ma ake Duuuuuh 😭😭😭 eeeh mungu tulindie wazazi wet me ndo maan hauniambii chcht jomn kuusu wazazi Wacha niwapende San au zaid ya San najua sku wakiondok au nikiondok najua nitawamiss San mungu awasaidie kwa wot waliondokew wa mzazi au wazazi wake wasiache kuwaombea Dua jomn
mungu nipe watoto wa kukuabud siku zote za duniani
na ukamlinde huyu mtoto katik kukuwa kwake na kusom Kwke , na kuish kwake the MWENYEZ MUNGU MMBARIKI NA UMLINDE..
AMINA.
2026-10-02 13:44:05
1
azida Abdul Msofe :
daah😭😭😭mtoto ananiliza huyu mmh
2026-10-02 12:23:49
1
ummusumaiya967 :
😭😭😭😭😭 pole mwanangu
2026-10-02 20:06:49
0
user5161298288554 :
lnnalillah wainnailayh rajiuun
2026-10-02 20:06:27
0
oficial mulhim😍❤️ :
aamin🥰
2026-10-02 20:07:03
0
Aunty Anujyal-rawahiy :
Allah awarehemu mama zetu walio tangulia
2026-10-02 20:05:35
0
Zawadi mitumba classic :
😭😭😭 jamani kufiwa kugumu sana uwii kiatu cha huyu mtt 😭😭
2026-10-02 20:05:22
0
Ashuu kham :
amiin mashaallah mtoti mwema uliyeweza ata kuzur kabur na kuomba dua allah akukuze kweny maadili
2026-10-02 20:05:22
0
To see more videos from user @mama.zuu.pambee, please go to the Tikwm
homepage.