@mwl.emilian.katub7: Kuna wakati wa kusubiri, lakini pia kuna wakati wa Mungu wa kutenda. Kile ulichokiombea, kile ulichokingojea, na kile Mungu alichokuwekea moyoni, hakitabaki kuwa ndoto milele. Kwa maana kuna wakati kwa kila jambo, na kwa kila kusudi chini ya mbingu. — Mhubiri 3:1 NI WAKATI WAKO WA KUSIMAMA! NI WAKATI WAKO WA KUSONGA MBELE! NI WAKATI WAKO WA KUMILIKI! NI WAKATI WAKO WA KUONA MKONO WA MUNGU! NI WAKATI WAKO WA KUINGIA KWENYE KILE MUNGU AMEKUANDALIA! Usifikiri kwamba kwa sababu umechelewa, umeachwa. Mungu bado ana kusudi na maisha yako. Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, na utukufu wa BWANA umekuzukia. — Isaya 60:1 🔥 IT IS YOUR TIME!

Mwl Emilian Katubayemo
Mwl Emilian Katubayemo
Open In TikTok:
Region: UG
Friday 02 October 2026 05:56:38 GMT
7544
1565
268
30

Music

Download

Comments

zipporahouma
𝐏𝐞𝐧𝐭𝐢𝐧 𝐋𝐚𝐭𝐭𝐲 🦋 :
mwezi wa kumi is my season and my Time in Jesus Almighty name Amen
2026-10-02 06:02:27
2
user50829347752797
Riziki Elizabeth :
mwezi wakumi is My season
2026-10-02 06:07:17
0
bettyosborn
bettyosborn :
Mwezi wa kumi is my season and my time and God is remembering me and giving me my Samuel in Jesus name🙏🙏
2026-10-02 09:35:48
0
queen.esther5497
queen Esther :
mwezi wa kumu is my time and my season in Jesus name amen
2026-10-02 09:26:56
0
user7581751810318
GS@🎀💞@@ :
amen mwenzi wa kumi mungu anikumbuka kwenye mapito yangu amen amen napokea.
2026-10-02 07:44:26
5
miss.is.love4
MISS IS LOVE :
mwezi wa 10 IS my Saison my Time Amen 🙏
2026-10-02 06:15:56
3
fattiz_baby
fattiz_baby :
AMEN🙏.....NAPOKEA USHINDI KATIKA JINA LA YESU
2026-10-02 09:30:46
1
lewisfrank812
lewisfrank812 :
Mwezi wa kumi is my season and my time na Mungu anaenda kunikumbuka na kwenda kunipa samweli 🙏🏽
2026-10-02 06:10:03
6
kananu.joan0
kananu Joan :
Ameeeeeeeeeeeen
2026-10-02 09:28:58
0
ms.haule
Facial treatment _Mtwara :
AMEN
2026-10-02 08:26:13
1
officialnipher27
Nipher :
Amen huu mwezi ni mwez wangu napoka kwa jina la yesu
2026-10-02 08:19:51
1
user40329886398764
Sarah shilla :
Amen mwezi wa kumi Mungu anikumbike kwenye ndoa yangu na familia yangu
2026-10-02 08:19:43
1
user9526651399133
[email protected] :
Amen kwa jina la yesu christo
2026-10-02 07:14:29
1
user5179033578430
user5179033578430 :
Napokea kukumbukwa na mungu anipe samweri katika jina la yesu Amen
2026-10-02 06:07:06
1
epher3004
Epher Ayuma :
Mwezi wa kumi ni mwezi wangu wa kubarikiwa.Amen
2026-10-02 09:37:42
0
imelda.alexander1
Imelda Alexander :
aminaaa
2026-10-02 09:35:42
0
fmeletronics1
FM :
Ameen mungu baba wambinguni na mwezi huu wakumi nikumbuke kwenye haya magumu nikiyopitia na aibu
2026-10-02 09:33:32
0
paschalinageremia
pretty p :
Ameen
2026-10-02 09:38:14
0
jacquesrusegura
sango mwamvuwa :
amen
2026-10-02 09:38:29
0
user4977700995781
Jemima kevine :
mwezi kumi is my season,is my time mungu anaenda kunikumbuka kunipa samueli amina🙏🙏🙏
2026-10-02 09:32:22
0
frindahkanana227
Frindah Kanana :
amen
2026-10-02 09:31:56
0
swaumu.swehoza
Swaumu Swehoza :
Ameeen ameeen napata mtoto
2026-10-02 06:47:25
1
user6198712267787
user6198712267787 :
It's my season huu mwezi wa kumu in Jesus name
2026-10-02 09:31:14
0
user6198712267787
user6198712267787 :
Amen
2026-10-02 09:29:22
0
benedictwillbrod
BENEDICT WILLBROD :
Amen 🙏🙏🙏
2026-10-02 09:38:00
0
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About