seeing this after nimelilia mtu almost a month
begged her she saw me cry
left me bila makosa
enyewe dunia wee😭
2026-10-02 12:00:38
172
Sam K :
Peace is very important over anything else
2026-11-21 09:44:52
1
MUKUMU CATHOLIC BASE :
just imagine, tell them
2026-11-21 03:33:36
0
luckyrui :
mine left recently am still trying to recover.wont believe how she changed and what she said.she didn't care how I cried.yet I didn't wrong
2026-11-01 19:04:43
14
Bíggøfàrmérwáíchígø :
😓na kwanza nilimpingia hadi magoti those days .sad memories
2026-10-02 09:46:05
83
Ndex :
wangu alisanya kila kitu akaniachia nyumba empty nkirudi kwangu nikashindwa nko wapi n she blocked me kila mahali...sijamfatilia adi leo na namuombea mama kwenye ako but asiwai fikiria kunirudia ata siku moja
2026-10-02 13:02:21
62
Keshy :
even men leave with kiburi now hes in my inbox weeh I want peace.
2026-10-02 13:30:29
17
Marvel back up 💪😺💯🫥🫥 :
nlitikanwa 😭🥹aisheee nikasema poa tu 😭😭
2026-10-02 10:06:50
28
king :
You cannot defeat a man who made peace with pain🙌
2026-10-02 16:41:08
14
The Bluez :
Wangu alinishtaki imagine nikalala kwa ndani siku tatu.Nilitolewa na cash bill ya 10k eti alisema nilimpiga kwa barabara.Sasa kwa barabara utapiga mtu aje kusema ukweli
2026-10-02 09:47:30
16
Rach rach :
Mimi nlimuacha nikaenda kujikaisha, then akanifuata akakuja kuishi kwangu
2026-10-02 08:57:38
12
princess luxurious :
the best thing alinitusi and nikamtusi back
2026-10-02 19:12:06
0
dedan k :
Leave him complete. he choose peace over her.
2026-10-02 09:17:36
27
@chriz :
yeah nikama una jua what happened to me
2026-10-04 13:03:24
0
kenny🚘 :
alikujiwa na mwanaume mwegine live nikiona 🥹
2026-10-02 14:02:53
13
. :
huyo ni Sarah kabu mwongeleze tu polepole hakuskia
2026-10-02 12:20:40
10
Steve :
leave him
2026-10-02 09:10:43
12
✨ Elkana/Boniface 💫Korir✨💝 :
exactly 💯
2026-10-02 09:30:36
15
Mwangi-wakeyboard :
saa hii mtu akinidharau kidogo tu mi najitoa ....mapenzi inakua hectic🥹🥹
2026-10-05 20:04:03
11
SHERIFF 012 :
shinda wanatuacha Sisi tunawapenda wanaenda kwa wenye wanapenda,wacha wataste vile walitufanyia how we were feeling 🤣
2026-10-02 18:25:28
5
GOVORNER :
Wewe wangu aliniacha in June nikaenda kwao akapanda juu ya meza akasema hawezi kuja kwangu hata Kwa dawa ,na hapo ako na watoto wangu wanne .wawili mapacha wa miezi kumi na sita .
kidogo akaenda Ku rent ati ako na pesa atajiweza.mwezi wa kwanza akawacha hao watoto kwa hio plot na kuenda Nairobi kufanya umaid.
Saa Niko na watoto wangu kwa Boma tulijenga naye,watoto Niko nao wank sawa ,yeye amenipiga block Kila mahali .
Sijaimtafuta hata kidogo Niko focused Kulea watoto na sitafuti Bibi mwingine.
Nilimsomesha college amekuwa akifunza kidogo akawacha.Akawa mgonjwa wa ki Akili sikuwa na pesa ya kumtibu nikauza shamba yangu nikamtibu yaani nimesacrifce Sana kwake .
But alienda Tu bila hata Mimi kumkosea .
Namuombea mungu amsaidie hio kazi anafanya imjenge asikose hata Amani popote .
2026-10-02 14:12:15
11
Baba Hawii :
nilioa single mother akaniwacha alirudia baby dady wake na akaenda na mtoto wangu..nalia kila siku sina family's 😭😭😭
2026-10-02 16:30:20
13
jose stimaa :
Kwa number gany siz
2026-10-20 16:09:02
6
King001 :
what am going through now nanyenyekea kila time baka nanyamazia vitu nafaa kuuliza dio atleast kukue na amani lakini wapi sahii naonyeshwa madharau nikivumilia tu Mungu nifugulie jia😭😭😭
2026-10-02 20:46:11
5
Phabian Johnson :
Mimi aliniachia after four months ,,, na kunishtaki kwa huyo kijana wake mpya ,and show him every chat how I was pleading over her ,, 🤣🤣,, saa hii Ako dm turudiane maybe kwa heal not in this world 🤔🤣🤣🙄
2026-10-02 10:01:11
6
To see more videos from user @st.9601, please go to the Tikwm
homepage.