@kiswahilitvonline: Siku ya leo @decobtz na timu nzima ya @Kiswahili tv tumetembelea nyumbani kwa msanii #fidovato kwa kusudi la kujua kuhusiana na tetesi zinazoendelea mtandaoni ya pambano lake na kijana kutoka Arusha, #yuzongumu ambaye alifunguka na kuhitaji pambano dhidi ya Fido Vato. Fido Vato mwenyewe ameridhia na kufunguka kwamba yeye yupo tayari mda wowote endepo fedha zitawekwa mezani. Na amejipanga vyema kuweka Tsh milioni 10, hivyo na mpinzani aweke fedha hiyo ili waingie ulingoni.
kiswahili Tv
Region: TZ
Friday 02 October 2026 08:46:02 GMT
Music
Download
Comments
Shamsi Maarifa :
kwa tukiowahi kuona fido anapigana tunajua fika jamaa hatanii ,yuzzo akaze huu mziki si kitoto mikono inatoka sana hapa
2026-10-02 09:46:05
30
mjukuu :
haha so kwa Yazzo utabaki mapendo vato
2026-10-02 09:26:16
9
Muwedi nick🇹🇿 :
Muhindi bwanaa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 12:45:01
0
Nickson Pendael :
sasa c kaz iyo kupika mbon me nmepika t
2026-10-02 09:51:12
3
𝓱𝓪𝓻𝓲𝓼 :
fidoo wakik
2026-10-02 09:39:41
3
jer💯 :
asee fido anae dharau😂
2026-10-02 09:41:00
5
frank :
Fido ajakaza
2026-10-02 09:03:59
7
chuga garl❤ :
watafuliwaa sanaa watot wadogo
2026-10-02 10:07:20
4
Bou Genge :
pambano ndo Kila k2
2026-10-02 10:03:17
3
jackline :
mzee wa sifa
2026-10-02 10:44:05
3
udaymahir :
sema jamaa namkubalii yan hii ndio real hip hop
2026-10-02 12:47:37
1
Ismaili jafar makaveli :
tunasubili pambano mzeee
2026-10-02 09:37:53
3
~Joely Tz007~ :
👍👍
2026-10-02 10:37:05
1
George decoration :
kweli babaaa
2026-10-02 10:00:22
2
fredy fredy :
anaonesha kabisa atachezea
2026-10-02 09:40:04
2
mnama e F x :
braza tokeza ground 😂😂
2026-10-02 10:17:55
1
Chiddy Msangi :
Ujakaza man
2026-10-02 09:17:27
2
Afraeli Bike :
hahahahahahahahaha.
2026-10-02 09:29:49
1
paulotemba :
uwakika Fido tuchapie awo vijana
2026-10-02 09:58:24
6
boniface9510 :
ninamzukaa na hyo batoo braza
2026-10-02 12:57:16
0
Gody Kanje :
warangi bana
2026-10-02 13:50:05
0
Bbm :
mkuu fid
2026-10-02 14:35:07
0
malaika💧💙 :
2026-10-02 12:48:22
0
user Ramani :
we una pigika tyu vizuri man
2026-10-02 14:45:45
0
LELO🌜🌜 :
2026-10-02 10:18:19
0
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.