@sophyraphael: Mje mseme hapa mmegundua nini kutoka kwa mshauri wetu wa ndoa 🤣🤣🤣🤣. Na kama unajijua wewe ni mfia ndoa kama mshauri wetu, basi ni lazima uwe na account ya @Mwanga Hakika Bank sababu imetuongezea wepesi wa maisha🙌🏽. Unapokuwa na PESA HAKIKA APP tu: 1: unaweza kufungua account yako ya MWANGA HAKIKA BANK bure bila kianzio chochote. 2: unaweza Fanya miamala yako kokote bure yaani ZERO CHARGES 3: unaweza kuhifadhi hela yako kwenye account yako bila makato ya kila mwezi yaani PESA YAKO NI YAKO🙌🏽 4: unaweza kutumia Visa card ya MWANGA HAKIKA BANK kwenye kufanya malipo, bila makato yoyote popote 🔥 5: unapokuwa eneo hakuna internet tumia menu yetu ya *150*39# kupata 🙌🏽 #zerocharges #pesayakoniyako #foryou #viralvideo #comedy