Togoani[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 13:01:25
1
Ichufresh Saleh :
umeongea point broo
2026-10-02 14:10:15
0
Tommy :
fact broo
2026-10-02 20:46:15
0
Zanzibar_Destination :
umeongea fact👍 brooo
2026-10-02 14:20:37
0
Cadabrah :
sisi sote madereva tugomeni mbona km tunaangaliana hakuna kukata.
2026-10-02 11:51:25
17
c'est moi 👋 :
Yani serikali yakipumbavu sana wakiona fursa kwa vijana wao ndio wanaona opportunity yakuwabana kuchukuwa kodi kama Zanzibar sehemu zote hixo zote hawajaona mpaka wa wabane bodaboda au watalii viongozi hamuwezi kutumia akili acheni kazi msifanye maisha kuwa kiama
2026-10-02 11:39:11
16
Muhine Muhine :
musilolijua gar ambazo c za kampuni hazitakiwi hayo unayoyaongea ndio yanatakiwa gar ziwashinde walete zaooo
2026-10-02 14:33:28
4
fey :
jamaa yangu umeongea kweli tupu kiukweli serikal yetu tunaomba mliangalie vizurii hili swala la pamet yani huki kuna zra ukija huku parking mote tunapo paki maisha yanazidi kuwa magumu kiupande wetu mtuone huruma
2026-10-02 11:16:02
6
shakht :
lugha gan hyo wateja unawapata kwel
2026-10-02 16:09:19
0
gallo zanzibar :
Haiwezekan me sikati
2026-10-02 12:51:58
6
Abdul-Malik :
jamani hapa kinachohitajika ni umoja wetu ili tuweze kutoboa kwenye hili,watu wakusini,mjini,na wakaskazini a na b wote waeke azimio moja ili kuweza kufanikiwa baaasi
2026-10-02 14:03:37
4
Хасан Занзибар 🇧🇬/🇹🇿 :
Tatizo Hatuna umoja Kwaio tutateseka sana imagine gari 30 zinasmama Zina Goma kulipa zote je mtapigwa risasi?
2026-10-02 12:44:22
4
LAX👣🇹🇿 :
fact broo
2026-10-02 12:12:58
0
Sparrow D :
Perfect brother 👌
2026-10-02 16:08:50
1
khamis sefu :
kweli bro
2026-10-02 09:54:50
5
Bublee zanzibar excursions :
Hawa watu hawana huruma hata kidogo
2026-10-02 13:33:29
2
MUNTARY G7 :
Wala bado ccm oyeeeee
2026-10-02 11:11:32
2
IQ×Silver :
uhakika
2026-10-02 11:23:49
3
Vuaa Jr :
sawa sawa
2026-10-02 12:01:37
2
crazy 🐅🐅 chui :
uhakika
2026-10-02 09:16:29
4
chelsii :
iyo kazi iko wp mm napanga kuuza gr nishamwambia dereva atafute m'badala akitokea mteja nauza
2026-10-02 12:00:11
2
Sanka boy :
kweliii kabisa
2026-10-02 11:07:33
3
James love 🫶 :
Kwakweli mtihani serekali yetu ya mapinduzi inatakiwa iyangalie mambo mengi Kwakweli inatuonea sana wajuwe kuwa wao tofauti na ss kwenye vipato daaaaa wafikirie sana tena zaidi ya sana duuuu
2026-10-02 14:04:14
2
LAMU TAXI DRIVER :
baba kweli hapa tupo pamoja
2026-10-02 17:59:44
1
HUSSEN BAKAR :
Ahsante kwa kutuwakilisha
2026-10-03 02:57:40
1
To see more videos from user @4real2698, please go to the Tikwm
homepage.