@sayyed.og.com: beti hii inapatikana katika dua ya JALJALUUTI ni hatari sana kwa kurudisha ubaya kwa adui anae kufanyia mambo mabaya. Nawahusieni utumieni kwa haki kwasababu beti hii kwa uwezo wa mwenyezimungu unamajibu ya haraka sana. Mtu ambaye atakae tumia beti hii kama nitakavyo elekeza, kwa hakika hatotupiwa uchawi wala jini wala hasadi yoyote. Na mtu yeyote atakae jichanganya kukutupia uchawi au kukufanyia jambo baya, Atakutana na jeshi la mwenyezi Mungu lisilo onekana, na ubaya wake utarudishwa kwa nguvu ya ajabu mno kiasi ambacho itapelekea kufa au kupata mabalaa makubwa sana. Beti hii imebeba majina matukufu ya mwenyezimungu ambayo yanauwezo mkubwa sana wa kurudisha ubaya. NAMNA YA KUFANYA: Soma beti hii mara 11 kila siku ndani ya siku 40 baada ya kila swala ya wajibu. yaani ukimaliza kuswali kila swala unasoma betii mara 11. Kwa hakika utakuwa na nguvu ya ajabu isio onekana kwa macho. Na atakae jichanganya kukufanyia ubaya wowote atakutana na malaika wakali sana wa mwenyezimungu (SW) Inshallah.
sasa kwa siku 40 mfululizo nani baada ya kila swala isomwe mara 11 kwa sisi wanawake inakuaje maana kuswali siju zote hizo ni ngumu kutokana na udhuru wetu
2026-10-09 13:21:37
2
ley :
Shukran jazzillah kwa ilm
2026-10-03 10:42:27
0
ZeeBee🐝❤️ :
ni kipi kati ya hivyo?hicho kinachosomwa au kilichoandikwa?
2026-10-02 13:21:16
1
Swabrinah :
ndani ya siku arubaini na sisi wanawake ikifika wakati wa ada zetu?
2026-10-03 18:30:03
1
Sameer :
Kwa mm mkristo naruhusiwa kuisomaje?
2026-10-03 08:36:11
0
Musa Badawi :
ahsantum mashallah
2026-10-03 08:18:27
1
johariyusuph :
Amiin Amiin Amiin
2026-10-06 08:37:33
1
hatun :
me ningeomba hio dua ya Latif nailataje
2026-10-03 02:40:04
1
Hemed Manzi :
shkh naombaa nisaidie ichoo kinacho somwa maana nimekipenda sana
2026-10-03 09:59:39
0
ℝ𝔸𝕀𝕐𝔼★╠♥︎ :
Shukrani sasa madui zangu wajipnge na aya za Allah
2026-10-05 11:39:40
1
Arafat :
ndo kwa minanda Dua kah
2026-10-02 12:41:01
0
farida :
amiin amiin amiin
2026-10-02 17:08:28
0
atma_mohaa42 :
na je kama tayari unao ubaya kwa mwili wako kitaenda kilipotoka?
2026-10-02 09:59:35
0
very soon :
wazazi wetu maskini wataumia wote maskini😏😏
2026-10-02 13:03:16
0
To see more videos from user @sayyed.og.com, please go to the Tikwm
homepage.