@rc.kahamaonline: Matukio katika picha, Katania - Italia. Misa takatifu na kutolewa daraja Takatifu ya Ushemasi kwa Mafrateri wawili wa Jimbo Katoliki Kahama ( amabao sasa ni Mashemasi; Shemasi Dickson Nyaga wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima - Ushirombo na Shemasi Innocent Lusakamila wa Parokia Teule ya Utatu Mtakatifu -Lulembela). Tuwaombee utume mwema.