@lutystar.family: KILIO CHANGU Episode 74 Nadia amepima na majibu yamekuwa wazi — ana mimba. Lakini sasa swali kubwa ni… nini kitafuata? Je, Baba Nadia atakubali ujauzito huu? Je, Dorian na Nadia watakabiliana vipi na mabadiliko haya mapya? Na je, ujio wa mtoto utabadilisha kabisa maisha yao? Safari mpya inaanza… na mambo hayatakuwa kama zamani. 🔥 Endelea kufuatilia KILIO CHANGU kupata kinachoendelea Usisahau KU FOLLOW, LIKE #africanstories #lutystar #storytime #swahilimovies #trendingreels
LUTYSTAR FAMILY
Region: TZ
Friday 02 October 2026 09:47:30 GMT
Music
Download
Comments
@minha 🥀🌷 :
watu wewe nampenda nadia na Dorian [Red heart][Gesture OK][Heartwarming]
2026-10-02 10:29:44
11
Karine Kemingisa :
mimi 'napend nadia nadorian
2026-10-02 10:06:20
8
ℚ𝕚𝕤𝕙a❤️🇹🇿 :
stk enjo na dorian warudiane man enjo ndo alianz usaliti
2026-10-02 10:32:02
12
Regy jr :
kwahiyo mshafanya tabia mbaya ☺️☺️daaaah 😁
2026-10-02 10:17:47
6
user936512086213 :
next please
2026-10-02 09:52:49
0
dem wa Saka🥰💞 :
fanya juu Chini enjo warudiane Na Dorian wallai nitabuy Martel wakirudiana tu😔💔
2026-10-02 10:01:10
10
ydtd58 :
leo w kwnz😁😁😁npen like zngu
2026-10-02 09:52:08
3
ramsoh :
hiyo kap ya Nadia na Dorian naichukia kinoma
2026-10-02 11:21:08
5
Rodah sungura :
sijapenda iyo mimba ya Nadia Mungu Wangu si itoke tu eeesh Dorian rudia enjo
2026-10-02 10:29:30
5
njogope :
dah nimeumia sijaon miuno ya nadia duh nimesikia mimba tu dah
2026-10-02 10:48:52
1
Janedolly💭😻 :
kama enjo harudiani na Dorian basi story iishe tu tuanze mpya maan inaniumiza tu😁
2026-10-02 10:46:18
6
Lowkey BoY 🏀🏀 :
Dorian anabadiri Dini soon nan anabisha 😳😳
2026-10-02 10:06:14
2
sheilahdee1 :
🙏🙏🙏I just like it
2026-10-02 09:51:38
1
princess 👸 tiffah :
tim nadia tumeshinda haachwi mtu hap
2026-10-02 10:51:25
8
Queen du jour ❤❤️🌺🌺❤❤️🇨🇩 :
muendelzzo❤️❤️
2026-10-02 10:51:29
1
dully jr@ :
Leo tujue mwamba anaongeza familia au veap😁😁😁
2026-10-02 09:52:15
6
Sophia Edward :
angel jaman pamban mpak uludiane na dorian
2026-10-02 12:32:18
1
Abuu Ashmall :
🔥
2026-10-02 10:38:04
2
Kizito pasel :
Dorian na Nadya wanatufundisha kutokukata Tamaa kwenye maisha[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-02 11:00:32
1
ifacolletion :
najiskia raha😅😅😅😅😅
2026-10-02 09:59:13
2
Ashelly Jackson :
wa 72
2026-10-02 09:53:34
2
user70871425105711 :
next part
2026-10-02 10:02:57
2
M manya 45✊️👊 :
wa 41 ni mm
2026-10-02 09:52:38
4
felixpacifique513 :
cool
2026-10-02 10:04:52
2
Miss Kitundu :
me cjapenda wapeana mimba bila ndoa ,, halafu sami nae anakera me ananiudh kumfata fata Angel 😇
2026-10-02 11:01:58
2
To see more videos from user @lutystar.family, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.