mbona mmnaomba mkisema kwamba awaombee kwa yesu na yesu anasema kwamba chochote mnajo omba kwa jina langu nitawapa John 14;14 wengine tunamueshimu kama virgin lakini sio mtakatifu yesu pekee ndiye mtakatifu anasamehe dhambi na anatuombea kwa baba Mathew 19:16
2026-10-02 19:53:51
0
Fideli Tshiotsha :
amen a amen amen amen amen
2026-10-02 19:07:34
0
pachaa :
amin
2026-10-02 16:35:47
0
Mussa Mathias :
Amina
2026-10-02 17:30:47
0
Oxygene.juslin :
Ndo ukweli Huo 👏
2026-10-02 17:44:44
0
loreen01 :
Aminaaa
2026-10-02 15:47:37
0
Dr michael. :
Nina swali wapi Biblia imeelekeza tuombewe na marehemu? na wapi Yesu alisema alipo mama yake nayeye yupo? na ukismea hivyo je unataka kusema na yesu baado yuko kaburini maana mama yake yesu alikufa.