nampenda sana na sina pingamizi na aowe na sina mabaya nae .Allah amfungulie rizki iliokuwa ya kheri nampenda mpaka nampa nafasi aende kwa ampendae zaidi ... Allah ampe furaha kipenzi changu
2026-10-02 11:32:31
269
Hidaya Hussein Ussi :
Haya mawaidha nikama umeniandalia mimi🥺
2026-10-02 13:56:34
352
Aziz :
Tumswarie mtume Muhammad s w. a
2026-10-02 13:22:11
113
Aem Rouhy 🖤💬 :
Allah akutunze kwajili Yangu Insha Allah 😍🫂Mawaidha Yako Yananipa nguvu sanaa 😓🥹 Sheikh 🔥🥰
2026-10-02 21:55:58
38
Mom Brian.. :
Najikaza Ila nampenda mungu ampe furaha alipo na mm mungu anipe wakwangu nitakae mpenda na anipende lkn inauma asikwambie mtu😥
2026-10-02 16:21:18
44
Tee😍 :
huyu shekhe ana busara sana ni tulizo la nafsi nampenda San kwaajil ya Allah ♥️
2026-10-04 13:55:54
38
queenshey :
yananiusu wallah🤲🤲allah nisamehe bule mja wako
2026-10-02 16:32:57
27
THABIT :
Asalam alleykum shekhe Othman maalim Allah akuhifadhi
2026-10-03 04:47:19
27
🙆🏼♀️🙆🏼♀️ it's me🫂 :
wallah huy sheikh mung ampe umri mref amn thum amn.
2026-10-02 18:11:05
13
Star Rinyo :
ktk hii tz hakuna sheikh anaetoa mawaidha km othman..🔥🔥
2026-10-03 12:14:37
18
muna abdala :
walai am always happy watching your video's I get emotional am pregnant if I have a son then in sha Allah I will name him after you 🥰♥️🙏
2026-10-02 20:27:53
9
سليم الفيلكس :
love you my future wife bi fetty
2026-10-02 16:02:40
2
my dear :
Mashallah Mwenyez Mungu akulipe Kila lenye kheri daiman nitakupenda ya ALLAH kipenz chetu maneno matamu kabisa
2026-10-02 11:21:40
7
@kichuna Mohammed 1🥰 :
Mungu akupe umri mrefu afya njema 🤲🤲🤲🤲🤲
2026-10-02 11:17:58
5
Sheila 🇧🇮❤️ :
Allah amuhifadhi🥰
2026-10-02 12:32:50
6
fettie :
Maneno mazuri mashallah🙏
2026-10-02 15:41:54
6
Sasha Seif :
Aswaaaaaaaaaaaaa inamaana sina jema nililofanya kwako na kwa ndugu zako
2026-10-02 13:55:12
6
CLEAN USED TUK-TUKS :
mtalaka wangu popote ulipo Ukiamua kurudi bado naishi kwa ile room moja tulopanga 2015 sijui ulipotelea wapi ila natumai bdo upo hai...Popote ulipo mungu akuhifadhi nimekutamani saana
2026-10-03 20:36:07
21
Official leah🥰😘 :
Ndio maana mi napendaga sana mawaidha ya kiislam na mimi ni mkristo 🥰❤️❤️
2026-11-01 07:28:22
11
Miss :
Yaani kama vile unanisemea mimi
2026-10-02 16:33:12
6
Raphael Wambua :
Am a Christian but I love such teachings
2026-11-14 16:38:42
6
To see more videos from user @husseinothmanmaalim, please go to the Tikwm
homepage.