@fredmsungu: 📌‭‭Wafilipi‬ ‭2‬:‭13‬ ‭BHND‬‬ “kwani Mungu ndiye afanyaye kazi daima ndani yenu, na kuwapeni uwezo wa kutaka na kutekeleza mambo yanayopatana na mpango wake mwenyewe.” Moja kati ya kitu kunachompa Mungu wepesi wa utendaji kwenye maisha ya mtu.. NI WAZO LA MTU JUU YA MUNGU. Namna unawaza juu ya Mungu, inaamua sana namna ambavyo Mungu atakutendea. Si hivyo tu lakini mapenzi ya Mungu duniani kama mbinguni, Mungu huyatimiza kupitia watu. Na ili hao watu wapate kuyadaka katika ulimwengu wa roho ni lazima mawazo yao yaendane na kile Mungu anawaza na sio mazingira yao. Kwa jina la Yesu pokea wazo la ki- MUNGU litakaloambatana na neema ya utendaji wa ki- Mungu kwa jina la YESU UME•BARI•KIWA

fredmsungu
fredmsungu
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 10:06:47 GMT
7898
1341
19
28

Music

Download

Comments

missketty59
Lightee :
AMINA AMINA AMINA
2026-10-06 17:18:57
1
angelmwinuka4
armygee..25 :
hii imenibadilisha sana. asante baba
2026-10-13 13:46:26
1
dainessbilegeya
dai bilgates :
Nakuelewa sanaa[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-03 12:53:31
3
madam.rey140
Madam rey14 :
Somo zuri sanaa
2026-10-02 14:00:32
1
soso_homedecor_dodoma
Soso_homedecor_dodoma :
Libarikiwe tumbo lililokuzaa.🙏
2026-10-03 10:49:04
3
user3332656015702
joyce :
Aminaaaa
2026-10-07 04:56:37
1
muebrania.tz
ernest muebrania :
barikiwe pastor
2026-10-02 10:27:29
1
alfatechnology_tz
Alfatechnology Tz :
ooh! ufunuo wa tofauti sana barikiwa San Pastor🙏
2026-10-02 12:25:39
1
glamourmomo
don momo💕 :
Baba si ututembelee tena Iringa
2026-10-02 17:49:39
1
aidaaidan341
aida💕 :
Amen
2026-10-18 17:17:29
0
carry5439
Carry😍 :
Amina Baba 🙏
2026-10-14 18:18:32
0
matairibeipoa
matairibeipoa :
👏👏👏
2026-10-02 10:14:04
1
lucky.diana63
Lucky Diana :
🙏🙏
2026-10-02 11:27:17
1
gabotz27
Gabriel Pius :
🙏🙏🙏
2026-10-02 11:43:47
1
frandy1726
frandy17 :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-02 10:15:47
1
2026doxa
PEFA STORE :
🙌🙌
2026-10-03 09:32:23
1
ibratpascal
Ibrat Kinyangasi :
Mungu maomba Neema yako nifike @destiny city church kwa mtumishi wako @fredmsungu
2026-10-13 09:30:17
1
judithmbele707
Judie🌹 :
🙏👏👏
2026-10-16 11:49:18
0
To see more videos from user @fredmsungu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About