Wamesema urudi studio umtaje Yesu ndio nafsi zao ziridhike
2026-10-02 12:15:04
36
milka :
kumbe unaimba ukiwa unatamani maisha ya diamondi☺️☺️☺️☺️
2026-10-02 13:02:07
23
Miss C❤️ :
Babaa mimi nae nateseka nina wivu na baraka za wengine, siko sawa😭😭😭 Baba nakukumbusha kwamba umenisahauuu😭😭😭😭 aki hii maisha ni ngumu, hata kama sauti yangu hitoki just listen to my heart😭😭🥺
2026-10-02 13:00:08
13
VINNY. TZ 🇹🇿 :
cape town sea point ... njoo Pretoria kaka
2026-10-02 15:12:08
1
JULIUS :
ulianza oludumare
2026-10-02 10:28:38
9
Culture Di Rasta :
Umenyooshaaaa Kak ✊
2026-10-02 14:47:55
4
gee💗💗❤️ :
all the best kaka
2026-10-02 14:47:25
1
FAITHFUL.. 🙏 :
booom voice god bless you 👏🥇🙏
2026-10-02 10:35:44
7
Baraka Mnazaleti :
National Anthem 🔥
2026-10-02 14:36:02
1
ojuku🎤🎧❤️ :
yaan sisi hata waseme aise tunasikiliza coz inatutia moyo🥰🥰🥰
2026-10-02 11:14:11
20
__Hadeet. :
wameshoot cape town😳
2026-10-02 14:51:34
1
Ree cute :
Mungu akupe nguvu usichoke
2026-10-02 14:20:53
4
🚫🤐🚫 :
Bro kelele zao hazikunyimi ela kikubwa unafurah na maisha yako
2026-10-02 15:00:31
4
🌸Miss crown 👑 :
nyimbo nzur tyu sema maneno ya watyu ndo shida MUNGU akupe nguvuu zaid😌😊😊