@westtv_tanzania: #MIFYEZO;; Katika mechi ya mpira wa kikapu ya wanawake kwenye uwanja wa Crypto Arena uliopo Los Angeles, California, Marekani ambapo mmoja kati yao aliangusha jume wa bandia (Dildo) katikati ya mechi iliyokutanisha Angeles Sparks dhidi ya Atlanta Dream (WNBA). Baada ya ume huo wa bandia kuonekana wote walibaki na mshangao na kuishia kuukufunika kwa taulo hadi pale mlinzi wa uwanjani hapo alipokuja kuchukua na kutoa nje.😆😆😆😆😆😆 #trending #virlapost❤️ #newpost😍 #NBA