KUJISTIRI NI AMRI ya allah. (s.w) si hiyari, na aliye kuwa haitekelezi basi jua kma yupo ktk maaaswi.
Tatizo pumzi tu.
Allah atupe mwsho mwema inshaaalh
2026-10-03 10:07:22
44
Shishivanny🇦🇪🇹🇿🚫 :
Me love ❤️
2026-10-11 15:22:08
1
salma mbarok :
ww kwan musilm au
2026-10-02 11:06:30
6
💞M3LUMY💞 :
Nyengn kwaajili yangu mi lovuuu wewe 🥰🥰🥰
2026-10-03 15:58:32
1
chama baby :
Na mungu anakuona kpnz ayo maneno yanamwisho pumzii t zisikuhadaeee
2026-10-02 10:56:32
16
salimoyo :
unauwakika walikuwa wapat Zambia au unajiamulia mambo ww VA unavyo juwa
2026-10-03 19:23:21
2
Bayou Haji :
wwe iga tuu
2026-10-13 13:47:39
2
DINI & DUNIA :
Sawa dada, pia kuna dunia na akhera, pia kuna maisha baada dunia
2026-10-06 12:12:35
4
HUZ🪞🧸 :
ww bint pumzi kakupa mung zinakuhadaa
2026-10-03 12:12:20
3
MBAROUK MUHAMMED :
hakika ya ukumbusho utawafaa wenye kuamin
2026-10-04 07:31:31
1
Abdul-hamid Ali275 :
Sisi tupo now tunasubiria connection Yako ili utrend vizuri
2026-10-03 20:57:44
1
mohamed washeli :
Sasa mbona una jiamulia mambo
2026-10-04 21:03:27
1
rahim chifupa :
semaaaaaaaaa didah
2026-10-06 13:20:01
1
nisfaan shaad :
watu wankupend lkn hawapend unavojiwek has wazanzibar wenziwo midomo ya watu si mizur wallah mmh naogp mm
2026-10-02 18:07:56
4
Naymuu :
Wewe binti pumzi zisikuhadae
2026-10-03 03:38:46
1
saadillah :
aliekwambia zaman hakuna nguo nani mwenetu
2026-10-02 10:36:58
2
Zulfa zaki :
Vaa mama wasikuchoshe mm wameongea muda na shungi sina kwani wananisaidia nn mm
2026-10-02 19:08:29
1
💦habbity rahmah💦 :
mie unavyoongeaga 2..nakupend jmn🥰
2026-10-02 10:54:24
1
Harleem_22 :
vipi fanya tuonane
2026-10-02 10:58:23
1
Miss❤️🔥lovely❤️🔐❤️🔥 :
Nisaidie mwanetu sip mwenyw mim😂🥰
2026-10-18 14:17:59
0
yamus :
ww kwan muislam au mkristo au unadin gan
2026-10-20 07:59:52
0
Mohammed Saleh :
Disco limeingia mmssai Nani kamkaribisha huko uyooooo?????
2026-10-17 11:24:53
0
liliiyaa :
tunakupend ila jaribu kujistir dada
2026-10-16 15:28:20
0
respect 🙏 girls 🥰👩🦰 :
dunia tunapita tu pumzii zisikuhadaee😏
2026-10-15 11:57:47
0
A.she hozah :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-02 10:37:58
0
To see more videos from user @khadijamsomaly2, please go to the Tikwm
homepage.