@millardayo_: Mwanariadha wa China, Shi Hailin, amefanikiwa kutembea umbali wa mita 100 juu ya utepe mwembamba katika eneo la Tiger Leaping Gorge, mkoani Yunnan, China. Hailin alitekeleza tukio hilo juu ya Mto Jinsha, akitembea kwenye utepe wenye upana wa takribani sentimita 2.5 huku akikabiliana na upepo na mazingira ya korongo hilo. Mwanariadha huyo anafahamika nchini China kwa mchezo wa kutembea juu ya utepe mwembamba, huku pia akiwa amewahi kuweka rekodi ya kutembea mita 100 kwa sekunde 74.198, kwa mujibu wa Guinness World Records. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 10:33:06 GMT
27235
1343
40
17

Music

Download

Comments

ladybrenda14
Brenda💞 :
Anawez kuja kutembelea biashara yangu uyu
2026-10-02 11:46:28
20
dsmpawaga
Davkhan2026 :
Risk Diversification
2026-10-02 17:04:54
0
cham1879
Chama 💫 :
wakwanz[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-02 10:35:25
1
kamzozo.9.5.7
KAMZOZO 9 5 7 :
huyu sisi hatumuezi sindio wakuuu???
2026-10-02 11:23:50
7
akida_blue_tours
MRS DULLAH💞 :
niuweni🤣
2026-10-02 11:13:52
3
officialkibiriti
Raban Pencil Art🇹🇿 :
i can do any thing for money i swear
2026-10-02 10:50:16
0
dogo.mbuzi
MR BASI TU SIFAAA 💰 🤑 💸 💲 :
hiki ni kipaji au nusu maisha
2026-10-02 10:59:07
4
user5421815662787
Annie Paul💙💙 :
Ahsante Mungu cn kipaji chochote maana ningeshapoteza uhai kwa nilivyo na sifa.
2026-10-02 11:46:23
7
user1477638172786
D.natty 🥷 :
𝗡𝗮𝗼𝗺𝗯𝗮 𝗮𝗷𝗲 𝗮𝘁𝗲𝗺𝗯𝗲𝗹𝗲𝗲 𝗺𝗮𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘆𝗮𝗻𝗴𝘂 𝗻𝗮𝗼𝗻𝗮 𝗵𝗮𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘀𝗮𝘄 𝗸𝗮𝗯𝘀
2026-10-02 13:51:56
2
chekaavibes226
Cench 💣💣💥💥💫 :
Zawadiii kwa wa kwanzaaaaa
2026-10-02 10:35:50
4
only.god2803
jada :
Jian to the world
2026-10-02 10:50:09
2
dollybrai
dollyb :
Ewaaaaa hapo nimebaki mimi na wewe millard hatuwezi ata kuruka kamba 😂😂
2026-10-02 13:52:29
2
itsdee_nation
itsdee_nation_👑✨ :
ni balaa
2026-10-02 10:36:44
1
tarisiana1
Tee🇲🇿 :
kana sifa kakion madem kaone
2026-10-02 10:43:19
1
the_punisher700
𝓟𝓾𝓷𝓲𝓼𝓱𝓮𝓻👊 :
hyo hat me naiweza
2026-10-02 11:33:14
0
regina.reggy92
Regina Reggy :
Yesu wangu😅
2026-10-02 18:50:22
0
carmo2828
Carmo :
Coment ya mwisho hii,jamaa asije akaanguka😂😂😂
2026-10-02 11:31:38
0
daquite4
MUNNY DA QUITE🦋 :
namm nimo😂
2026-10-02 12:15:10
0
stopper6967
STOPPER🥷 :
🫡
2026-10-02 10:36:09
0
mafingaboy2
mafinga boy :
ndio natoka kuamka ziko wap like zangu
2026-10-02 10:52:39
0
dore_en6
🎀Deee🦋 :
Me ninge shaharisha mda snaa😁
2026-10-02 18:58:30
0
mom.g52
itz_. dat.gal :
ila watu Kwa kujitoa uhai 🙌🙌🔥
2026-10-02 10:48:48
0
fety.juma17
tina🐦 :
Yan mm ningesha binuka kitambo😁😁
2026-10-02 11:09:08
0
user42263534748147
lizzy :
mtu unamdai 3000 yako unamuona anatembea hivi anataka kufa na utajiri wangu
2026-10-02 12:19:02
0
sandali1135
sandali 🇹🇿🇹🇿💋 :
watu so kumtafuta zilaili ubaya jamna si anamuita makusudi apo
2026-10-02 11:44:14
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About