@bbcnewsswahili: Kifo cha ghafla cha mfanyabiashara mashuhuri wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, kimeibua maswali kuhusu safari yake ya biashara na utajiri mkubwa alioujenga. Chivayo alifariki katika ajali ya helikopta. @mariammjahid anaeleza safari yake ya biashara na alivyofikia utajiri huo #bbcswahili #fyp #foryou #chivayo #zimbabwetiktok

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 10:50:15 GMT
298541
15694
97
296

Music

Download

Comments

prostrow
PROSTRAW :
Sasa mnataka kutudanganya
2026-10-02 12:17:03
45
otf_baswa
Maniga MBAPPE 🐐✈️ :
guys let this unc rest in peace
2026-10-02 11:52:20
17
firdaus3533
firdaus :
mbona zamani hamkutuhadisia
2026-10-02 13:20:40
14
juvenile.hiphop
Juvenile Hiphop :
mbn wanavaa white na mama ebu white what's behind white
2026-10-02 16:55:56
6
alenb67
kutemaster :
e mungu nijalie niwe tajiri kama huyu jamaaa I want to be rich dear God I want to be rich I want to be rich
2026-10-03 21:26:32
0
lastkingel
last king🦅🇹🇿🇺🇸🇺🇸 :
Ndugu zangu nina milion 60 naombeni ushauri nifanye biashara gani
2026-10-02 19:30:13
2
sophy8287
Sophy :
kwani anatuhusu nni SSI jamani😳😳😳 heeeeeee onhrrni vya mana bwana
2026-10-02 15:20:14
7
ellymagero
Elly Magero :
And all is vanity
2026-10-03 19:05:12
0
babumihambo
Mihambo Jr@ :
Chivayo na dangote nani tajir sna
2026-10-02 18:05:53
4
misheckms
Misheck Ms@ :
So what are we supposed to do with this information
2026-10-02 18:34:30
6
yustogabrielimlay
Yusto Gabrielimlay :
kodi za inchi za watu
2026-10-02 11:48:12
9
nicholauslutaha61
MR.OP⚠️🚨 :
r.i.p
2026-10-02 11:48:42
6
mwiituwanzelemia
mwiituwanzelemia :
lies
2026-10-02 17:36:23
3
msigwajr22
Msigwa General Advisor :
Alidrop shule 1996 akawa Wages clerk katika Kampuni ya mabus then 2004 akapiga Rand 837,000/= 132m Tsh na akapiga dollar $ 5m USD kaama Advance payment ya Mradi wa solar watt 100....alikuja Kenya June Kutaka ku joint venture kukarabati uwanja wa ndege wa Jommo kenyata wa thaman ya $2.6b ....
2026-10-02 14:11:49
5
mkatolick7
Daddy Kendrick :
rais wangu pendwa ruto
2026-10-02 15:38:29
5
drantlove770
Drant love :
Thanks kw taarifa
2026-10-02 10:56:10
6
nyongez1
Ambrocé🤪 :
wizi
2026-10-02 18:22:41
3
user44581171044138
Masanja darushi :
chivayo mungu anajua ulipo kaka
2026-10-02 17:16:53
5
kamzozo.9.5.7
KAMZOZO 9 5 7 :
kwani wabongo mnasemaje
2026-10-02 13:20:20
5
neylyshaz
neema :
baada ya kufa ndo mnasema tunzeni mingongo hali ni mbaya
2026-10-02 19:32:16
2
tunachongafunguoainazote
BlessB 😭😭 :
siwezi kujuwa dada utakuwa wewe
2026-10-02 17:11:27
3
selanyik
SELANYIKA :
Kwa Aliminyo Isipo Kuja Itskuwaje
2026-10-02 19:24:27
2
mshirazy.harith
Mshirazy Harith :
Yaaan nyie bado kabsa hamjatupa siri pesa kazipata wap 😂😂😂😂😂maana km kupambana tunapambana sana lkn bado hatujatoboa 😂😂😂tupen siri pesa kazipata wap😂😂😂😂😂
2026-10-02 21:24:35
3
heartwarming49
heartwarming+254 :
mungetueleza kabla hajafa ndio ajibu ni kweli au la
2026-10-02 17:37:16
3
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About