@taimediatz: #HABARI Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anatarajiwa kuzikwa kwenye ardhi ya asili ya familia yake, katika kijiji cha Gandami, Wiltshire, eneo la Chivhu, Wilaya ya Chikomba, Mashonaland East. Taarifa zinaeleza kuwa eneo hilo ni sehemu ya ardhi ya familia ya Chivayo, yenye ukubwa unaokadiriwa kufikia takribani hekta 380. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv
taimediatz
Region: TZ
Friday 02 October 2026 11:41:28 GMT
Music
Download
Comments
mamaikram56 :
Masharti yalikua magumu sanaaa
2026-10-02 13:17:11
31
Asham :
nashindwa kuelewa pesa zote zile
2026-10-02 14:22:17
14
Janelle :
nimejifunza kitu kabisa
2026-10-02 12:14:39
31
Priget Mmari :
Watoto je walipona
2026-10-02 15:06:06
2
Maggie B 001 :
sitaki pesa ka hizi..mungu nifunze kuridhika.na kidogo niko nacho
2026-10-02 14:28:39
12
Sheylah💋 :
Kila kitu tutakiacha hapa hapa nyanda moja sote bilionea ‘’maskini sote pamoja Allah atupe mwisho mwema 🤲
2026-10-02 12:19:29
10
Mama Hammy Sweetwear🥰🥰 :
poleni
2026-10-02 14:16:46
0
Tulah Alex :
Neno lita simama,mambo yote yatapita lakini neno litasimama
2026-10-02 13:52:49
4
user826835405819 :
mmeona watu wanaendelea nje sio nyumbani
2026-10-02 14:50:40
1
Dimples🥰❣️ :
Nikwamba familia yake haikuwa inakaaa hapo jmn wote walipelekwa mjini kwaiyo hapo palikuwa patupu
2026-10-02 13:48:31
1
Joyce emily :
Nashindwa kuelewa
2026-10-02 13:16:35
4
Vai Vio💖💖 :
za Dunia zitabaki tu dunia
2026-10-02 14:41:48
2
We'vegotnothingbutlove :
kabisa
2026-10-02 15:19:54
0
ziii😍😍 :
Zawad za magar ya thaman alizokuwa natowa maskin kujenga hom kulikuwa na shida gana
2026-10-02 15:19:08
0
Yohana Charles :
apumzike kwa aman
2026-10-02 15:11:36
0
lilianmushi945 :
eeeeeer
2026-10-02 12:03:48
2
shauri :
Aaah pesa zote zile 😭😭😭
2026-10-02 14:55:00
0
mtindajohn :
😐😐
2026-10-02 14:59:44
0
Grace Karata :
ni Hapoooo??????????????😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
2026-10-02 14:34:06
0
LastBornMe :
em nirud tena kwa yule aliyefafanua misaada na zawad alizotoa 2026 lbd yale mamilioni nilisikia vibaya
2026-10-02 14:31:35
0
Mama Sumay :
yawezekana hata wazazi walishafariki angemjengea nani sasa
2026-10-02 15:23:32
0
Cute Letishaaa :
sijaelewa wakuu
2026-10-02 15:24:17
0
official ❤️ :
2026-10-02 14:46:51
0
Hilly🦋 :
Madogo
2026-10-02 14:51:23
0
treasure01 :
Nachoka mm awa matajiri wetu duhhh😳
2026-10-02 13:45:58
0
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.