@fridakitua218: #fy #viraltiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

FN_COLLECTIONTZ
FN_COLLECTIONTZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 11:54:53 GMT
34323
833
205
118

Music

Download

Comments

queen.her.self83
Queen her Self 😍 :
Aaah nimepost na Mimi wajione [Tears of joy][Tears of joy] wakinuna shauri Yao
2026-10-02 18:27:29
0
mamaas_3
Da Love💃 :
Nikikumbuka nishafanya huu ujinga hadi aibu naona 😆
2026-10-02 16:04:09
11
user4959807233738
user4959807233738 :
hivi kuolewa niraha sanaa mnafaidi sanaaa
2026-10-02 17:50:16
2
irene.simon.iddy
Irene 💋🫦 :
hata mm nitafanya zaidi ya hiii mungu tu anifanyie wepesi🥰🥰🥰
2026-10-02 15:43:17
17
aishabakili
Aisha Bakili 🥰❣ :
Huyu mimi kabisa 😂
2026-10-02 16:55:08
2
salome19395
salome🥰🥰 :
Yan Mimi kunammoja ananiker sana jamn au ninawivu😂😂😂
2026-10-02 17:29:54
1
gracegodwn
Grace Matata :
Wacha turingishie gold bana
2026-10-02 17:08:09
0
may2024may
MAY MAY 🇹🇿🇨🇩 :
mm nilifanya kama ivyoo😂 baada ya mwaka niliziona zito kama mfuko wa cement, nikaziuza pesa nikawaita wasimamizi wa ndoa nikawanunulia beer na nyama baada ya kula nikawaambia nimeuza pete na pesa ndio izi nimenunua beer na nyama na ndoa yenyewe staki
2026-10-02 16:07:48
9
the.seer480
The Seer🔥 :
Tena mm nikitoka bila Pete nikapanda gari nahisi kichwa hakiko sawa...Kuna Raha yake bn..
2026-10-02 18:05:38
1
mama.g6519
mama g :
ila Frida 😁
2026-10-02 13:22:48
0
baby.aines
Baby aines :
me hua wananikera kama nn af nikiangalia mm moja haikai wala mbili [Tears of joy]
2026-10-02 16:57:08
5
ninnah441
Ninnah_😍 :
Umewaza nini lkn??🤣
2026-10-02 16:46:38
1
misshasta.35
c.e.r.r.y💋 :
Kuna mtu nimemkumbuka apa😅
2026-10-02 16:50:06
1
jackjuice6
jackjuice :
usinichekeshe bahna😂
2026-10-02 15:39:18
1
96hk_janny
Hk💝janny🦋🎀 :
Mtuache ndoa zenyew za kufunga miaka na miaka 😁
2026-10-02 14:41:32
1
jenny_higan_gr
chimom ❤❤ :
haki namechekaaa balaaaaa🤣
2026-10-02 17:10:47
2
fettytz56
☘️ FETTY ❤️ :
nimechk ni mimi kabc😂😂😂
2026-10-02 15:18:08
2
gianmom
🌹Gian mom🫦🇹🇿 :
natamani kumtag uyo dada jmn nyiee😂😂
2026-10-02 16:12:02
1
mama.wawili.pic.ya
PIC YA KIGOMA❤❤ :
😅😅😅😅😅😅Nachoka mm tusamehe
2026-10-02 17:57:06
0
kauthar6871
Mrs .....🥰💋 :
Huyu mbona ni mimi kabisa😂😂😂 yani hadi raha 🥰😂😂😂🙌
2026-10-02 18:01:51
1
mithahomes1
MITHA HOMES COLLECTION :
jaman😃😃
2026-10-02 14:22:35
1
flaviecollections
Flavie Collections💕 :
😂😂😂ndoa ikianza kuchacha tunaacha kuona na pete
2026-10-02 15:16:22
4
user6330451275139
kinguluila8888 :
mie ya kwangu ya elfu 3 bas,na Vito jamani watu mpo serious hivyo kumbe😂😂
2026-10-02 17:09:51
1
deekidoti7
Dee kidoti ❤️🦋 :
Afu kuna mm Pete huwa hd nasahau kuvaa
2026-10-02 16:45:44
1
violethgerald
Vee🎀 :
Kawaida iyo🤣🤣🤣🤣
2026-10-02 17:07:16
1
To see more videos from user @fridakitua218, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About