@tarextz: Je, return ya real estate ni kodi tu? Ukinunua nyumba ya TZS 200M halafu ikakuletea TZS 500,000 kwa mwezi, ukiangalia rental income pekee, unaweza kujiuliza: Hii investment ina maana kweli? Lakini @andrew_kato anaeleza kwamba real estate investment haipimwi kwa rental yield pekee. Unaangalia pia thamani ya property inaweza kwenda wapi, infrastructure gani inakuja kwenye eneo hilo, kama unaweza kuongeza thamani ya property, kuitumia kupata financing na muhimu zaidi, exit strategy yako ni ipi? Wakati mwingine opportunity kubwa haipo kwenye kodi unayopokea leo, bali kwenye kile unachokiona miaka 5 mbele ambacho wengine bado hawajakiona. Andrew Kato × TAREX TAREX 2026 | 20–22 November | Superdome, Masaki
Tanzania Real Estate Expo
Region: TZ
Friday 02 October 2026 11:55:46 GMT
Music
Download
Comments
SHABANI STORE :
Nimesoma comment zote
2026-10-02 15:21:40
1
The.real.Khalil_hassan🇹🇿 :
Nani anapangisha nyumba ya million 200 laki 2/3?
2026-10-02 16:52:34
1
wadrock :
amna banaaaa
2026-10-02 20:01:42
0
Seth Peter. :
Habari. je naweza kupata mawasiliano nanyi. mimi nipo Arusha. kuna jambo naomba kushare na wewe.
2026-10-02 13:48:32
1
Sayeed💠 :
ROI [Fire]
2026-10-02 16:10:36
0
Fimbo cement :
Point yko haina mashiko tofauti na mkopo n nn??
2026-10-02 17:51:35
0
al darary :
exactly real estate ina faida kubwa mzee nimekukubali
2026-10-02 15:43:35
1
To see more videos from user @tarextz, please go to the Tikwm
homepage.