@abdulhafidh575: 🤐

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 11:55:51 GMT
60753
2736
104
495

Music

Download

Comments

ismijohn5
ismi :
kesho siku ya hukumu ni siku nzito na ndefu sana.Allah Atunusuru na adhabu ya siku hio kubwa
2026-10-02 12:13:06
59
lambada4207
Aim baby Mom omani🇧🇬 :
Uyo ni mimi tangu niwe na mume wangu maisha yake yamebadilika kuwa mzul na nikinuna Ata kazin mambo yake uwa mabaya 😂
2026-10-02 13:53:37
20
999xcrash
user3838207460776 :
kwahiyo tiba yke nini
2026-10-02 13:36:41
7
user2559682409615
user2559682409615 :
sasa unaweza kunisaidia? Maana mini ni mhanga wa hilo!! Mumewangu anapata mali kwa ajili yangu! halafu hanijali anahali ndugu zake tu!!
2026-10-02 16:44:54
6
neemity.hadija.an
Neemity Hadija Anzazi :
mim nilingia kwa familia wahovyo 😁😁😁tufanyweje jmn huyu ni mim
2026-10-02 20:13:52
2
pettyria
Petty ria 💕 :
dah tuangalie na familia za kuolewa🥺
2026-10-02 15:04:23
8
ithbatali
Ice lolly :
na mimi mume wangu kanmbia aliende na majina mawili likatakwa langu
2026-10-02 17:36:22
1
user6261761728611
peace :
Mwenyezi Mungu ndiye mganga mkuu
2026-10-03 03:40:31
1
thghg38
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
aha ndio Mie lazima wameniangalizia
2026-10-02 13:11:33
2
mama.d59625
Aunt p :
sheh samahani si wanasema nyota inasomeka kwa tarehe jina linamadhara gani
2026-10-02 14:43:51
0
ummynouman
ummy nouman :
Subhanallah Allah atupe sahal akhera kuzito uko yaarab
2026-10-02 12:20:17
7
sydamhemeidz
Coastarica Bites😋💯%Swahili :
jamani mbona mm ninazo hizi dalili
2026-10-02 13:22:18
3
the.fashionistar
The fashionista✨r :
wazungu husema "base on true story"..
2026-10-02 20:37:54
1
chiyaaha
Chiya Aha :
ni mm kabisa na ndio nimegundua ila is too late wallahi
2026-10-02 17:11:36
2
usitakencheke0
USITAKE NCHEKE😂 :
😂ndoa ni ufala tu siku hizi
2026-10-02 14:18:49
3
damiansabasi
Damiani Sabasi Lashayo :
iyoo ni kweli kabisa doctor
2026-10-02 18:13:05
1
hijabsisters._kigoma25
HIJAB SISTERS KIGOMA :
Hii nayo ni kweli wallah
2026-10-02 13:56:39
2
amyrashaeyz
Amy :
dah nachoka jmn 🙌
2026-10-02 12:44:50
2
mwadinihaji5
M :
umenictuwa kk👍💯👊🙏
2026-10-02 16:01:51
1
salvosltwy36
prettygirl :
Upo sahihi kabisaa
2026-10-02 13:14:17
1
cute_sally8
cute_sally✅ :
mbn kama mimi uyoo😀😃
2026-10-02 17:10:58
1
1111gro
Dommy Domas :
Innalillah waina
2026-10-02 16:42:03
1
shayam1518
Shayam munir :
mm yameni kuta
2026-10-02 13:54:46
1
sharifagaare
SHAYUA✨ :
tunaomb uifungue 🥺
2026-10-02 13:03:31
1
afifaomar14
afifaomar14 :
Mbinguniii tutafikaa tumechokaaaaa 🥺🥺🥺
2026-10-02 12:08:35
1
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About