@feddy.quality.furnitures: Replying to @gladmweesh ✨ BEDROOM YA NDOTO ZAKO 🤍🔥 Simple, classy na modern! 😍 Kitanda + Dressing Table + Mirror + Wardrobe + Chest of Drawers — kila kitu kimepangwa kwa umaridadi wa hali ya juu 🛏️✨ Unataka bedroom yako iwe hivi? Tupigie sasa ☎️ 0754619273 📍 Tunatengeneza furniture za kisasa kwa mahitaji yako. #BedroomSetup #BedroomDesign #FurnitureTanzania #FurnitureDar #Mafurniture
FEDDY QUALITY FURNITURES
Region: TZ
Friday 02 October 2026 12:23:54 GMT
Music
Download
Comments
REGINA :
nikiolewa kila mtu ake kwake alinde mali zake😎😎
2026-10-03 07:42:29
3
Baby winnie❤️ :
Me nae kila nikitaka kuolewa nikakumbuka Nina vitu vizuri nagairi
2026-10-02 19:06:27
16
jay 💞 :
bola niende na mali zangu niwe naishi uku naziona akizengu nachukua maliza zangu kuanza maisha 😂 uzuri nakuwa nazitumza Mimi ko zinakuwa azijachakaa
2026-10-02 17:48:59
17
mrs frank OG🌹🌹 :
mfano kama zote nilituma nyumbn.kbs
2026-10-02 14:05:28
9
naomy aron :
tukiwaga na hivi vitu hatuolewi ila sisi ndo tunaoa
2026-10-02 18:30:43
8
majoje :
eeh unakuta unaolewa na mtu umemzidi mpk feniture m huwa naghairi bhana mtajua wenyew sio lzm kuolewa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 22:53:34
3
Miss endependent ♥️ :
Kwa ndugu au tunauza
2026-10-02 13:35:55
3
Hadia.. :
tunaishi navyo🥰
2026-10-02 12:32:41
2
user9752745922150 pendo🥀🥀 :
mi vitu vyangu vipo uvungun vyote ☺️☺️
2026-10-02 18:26:49
1
groly844 :
Napelekanga kwa mama angu
2026-10-02 13:30:25
4
Heureuse❤️🔥☺️☺️ :
kwa mdogo mtu
2026-10-02 13:29:26
0
just a girl who loves reggae :
nitaenda na cheti cha kuzaliwa tu 😂😂
2026-10-02 18:54:09
0
sophia peter :
Mi niliondoka navyo nimevipanga chumba cha wageni akiniudhi naenda kulala huko najifariji kumbe nina vyang bhana napunguza machungu
2026-10-02 21:44:18
3
Violet Fissoo :
kuuza
2026-10-02 14:22:34
0
Jay❤️ :
me niliuza sina mjadara
2026-10-02 15:20:07
1
Catherine Mnkeni :
Hili swali juzi bibi yangu alikuja kwangu akaniuliza nikabaki nachekaa🤣🤣baadae nikaona ila kweli aliwaza mbali sana.
2026-10-02 21:12:32
1
sabricious💕💕 :
nina nyumba kabisa kwahiyo nitaipangisha kama apartment na vitu vyake ctaki shobo
2026-10-02 17:50:31
1
Happy peter :
vingine nilimgawia mdg wangu vingine nyumba adi nguo zote, sasa nipo peke angu naanza upya nalalia kapet
2026-10-02 14:26:09
1
Veronica Gabuge :
vyangu nahsi nitauza😌
2026-10-03 08:02:36
0
stella pius :
mm vya kwangu ntabeba
2026-10-03 07:35:48
0
sania :
nakaa navyo pembeni ya kitandanda cja mume wang😊
2026-10-03 07:31:35
0
mariam :
vyang nitaolewa navyo ili asije sema sikuja na kitu😂😂😂
2026-10-03 07:29:54
0
officiall cinta wa chiduga :
uyu ni mm kbsa yan mpnzi wangu mpk anatak ahame kwake aje tukae kwangu kizingizio awezi nunua fenicha mpk nyumba yake iishee😂😂😂😂😂😂
2026-10-03 06:50:00
0
Lightness Mwenda :
washing machine yangu naenda nayo bhn me siwez fua kwa mikono
2026-10-03 06:21:24
0
zahara♥️ :
mm natuma nyumbn
2026-10-02 15:04:18
0
To see more videos from user @feddy.quality.furnitures, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.