@devotajs: Chosen one/ Mteule: Utajuaje Kusudi lako na wito wako hapa duniani #chosenone #fyppppppppppppppppppppppp

Devota JS
Devota JS
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 12:39:11 GMT
9605
721
46
56

Music

Download

Comments

alipipi39
Incarnated Angel :
There is a difference between purpose and career.
2026-10-03 04:41:27
1
veronicakibusi
Veronica Kibusi :
Mie sasa hivi riziki zimefunga nakosa hadi mia tano mpaka najishangaa
2026-10-02 19:36:31
3
ham.boy.ms
Ham Boy Ms :
yaan hapo kwenye maxhauri ndio xaana lakin niyapendayo mengi yananikataa madame
2026-10-02 17:20:16
2
akothann4
Akothann :
kama mimi sijui kabisa yaani ninarohochafu ajabu ama rochafu pia ni kusudi? yaai ninaroho mbaya mkali yaani nanyongwa na bitterness
2026-10-02 22:34:39
2
vbb1949
lidya :
mm nateseka sitaki nisikie Sauti ya mtoto akilia wala hateseki,nikiona mtoto yoyote analia mm nahisi ni njaa tu anasikia lazima nikamuulize,hata kama yuko na mzazi wake najikuta namuuliza kama alikua ashakula tayar,na nikisikia mtoto analia hata kama simuoni sauti naisikia ile ile kila nitakapoenda kama sitajua kwanin alikua analia,sitaki kuangalia hata video za mtoto akiteswa mana picha haitafutika,ila watoto wangu hata wakilia hainiumizi kama wengine,na hii dada imekaaje
2026-10-02 13:45:16
4
ccterloved
Diana Lugola :
mm kudizaini nguo mambo ya urembo yn kitu ambacho kipo rohoni nilishakua miss mwanza 1997
2026-10-03 05:47:52
2
tahiyaibrahim2
ukithy tahiyah :
thank
2026-10-02 13:19:27
2
user1339692943060
ney :
sasa Mimi sikusoma Hadi sekondari.lkn nlijisomea nikiwa mtu mzima na watoto watatu. nikajishangaa nimesoma Hadi chuo na Sasa ni mwalimu.kimiujiza tu
2026-10-10 05:59:51
2
veejay_45
i.preferjack :
I'm so good at overall analysis alafu hizo sifa karibu zote ninazo
2026-10-02 14:50:41
1
malikia.mubarikiw
Malikia Mubarikiwa :
mimi napenda justice yani kila mtu afanyiwe mema haijalishi awe boss awe mwajiriwa, sisi wote tufanyiwe wema haswa kwenye upande wa kazi watu wanadhulumiwa inaniuma sana sababu pia mimi nishawai dhulumiwa huwa natamani niwe mfanya biashara mkubwa duniani yani nimiliki mabilioni ya makampuni niwajiri watu wengi wasidhulumiwe tena na kila siku huwa najiongelesha nikiwa pekee. 🥰🥰🥰
2026-10-02 13:07:00
1
user4856635079359
user4856635079359 :
mm watu wengi wananifata niwape pesa
2026-10-04 14:57:42
1
ronic.vee
ronic.vee :
Mimi kusuka sijui nilijulia wap n kw Sasa sio fund wala nini hata nywel niione Leo tayr nakua imesukwaje
2026-10-03 07:22:02
1
veeee.fashooony
Veeee fashooony :
Kuchagua vitu vizuri koo kunaile nisindikizee wewe ndo unajua yani napata tabu mwe
2026-10-03 20:37:38
1
akothann4
Akothann :
+izi magonjwa za uzee kukikucha nikiwa hai naona MUNGU kasahau kunichukua maana nachoka roho nilipewa simu ya smartphone na mschana angu ili niingiage online nisiboeke but magonjwa ya uzee hot flashes and all that nachoka kuishi maana ni madawa na ikiisha kitambo nipate kununua nimeumia plus asma nafungana kifua mpaka nidungwe shindano ya mshipa nani pesa mingi na inhela bado nipesa na iyo pesa ni ku straggle yaani am tired in short.
2026-10-03 03:37:58
1
alipipi39
Incarnated Angel :
Angel number 311
2026-10-03 04:40:38
1
alipipi39
Incarnated Angel :
Angel number 22
2026-10-03 04:41:46
1
ham.boy.ms
Ham Boy Ms :
madame kama ni ndoto za kuendexha magari ndio nyingi lakin kiuhalixia zinanikataa ajaly zangu mm huwa wananigonga wenyewe mpaka gari naziogopa xaxa madame xo hapa kuxudi ni lipi kama ndio kwely ya uteule¿🥺🥺
2026-10-02 17:24:15
1
veeee.fashooony
Veeee fashooony :
Nilipenda kua rubani jamani
2026-10-03 20:35:11
1
mstariwamaishaofficial
MSTARI WA MAISHA :
ushauli
2026-10-13 21:55:54
1
p_mujx_45_
P_s4nia👩‍❤️‍👩❤️‍🩹 :
jamn kipind nipo mdogo nilikua napenda kazi za jeshi nilipo kuakua nikaanza kutaman kua msani lakin sahiv wat mtaan wananitaa mwanajesh mala mpelelez Nala kamanda jamani nanikilal ninaota majeshi tu yan daah Alf nikijiangalia wag nahisi kabsa usanii unifahi kabsa yan had sahiv imefikia hatu dad angu kaamia kalibun na Kambi kabisa
2026-10-14 23:16:35
1
clare.wasike5
Mrs Wekesa 💕💕💕💖💖 :
aki kupika na sijawai ingia katika darasa ya mapishi hata siku Moja na pia kutia watu moyo kuwa fariji
2026-10-09 19:42:18
1
deshanaafashion
deshanaa fashion :
Kupika na kushona 🤔
2026-10-04 19:52:15
2
user8724385820244
Aisha Mushi :
choosen one anajua Kila kitu hata kama hajasomea, yaan anaweza kubwa nurse, anaweza kuwa mpishi mzuri Sana, anaweza kuwa mhubiri mzuri lkn anaweza kuwa mfanyabiashara mzuri Sana sijui nini Huwa kinawawezesha kujua Kila kitu
2026-10-05 08:03:52
3
stella.kyariga
Miss Stella :
niliuza dawa miezi mi 4 bila kusomea na niliishia form 4, arafu Kuna watu wanajuaga mm ni nurse na hata jioni hii nimetoka kuambiwa na mtu nimekaa kama nurse natamani sn ila uwezo Sina wa kwenda kusoma,
2026-10-03 17:35:45
1
winifridavincent6
winifridavincent6 :
me upishi kweli
2026-10-02 19:57:52
1
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About