@dalalifranklin: MKALAMA DODOMA‼️ ‼️Mkalama ni Mtaa unaopatikana katika Kata ya Makulu, Jijini Dodoma. ✨Ipo umbali wa kilometers 5-6 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma, pia Ipo umbali wa kilometers 1-2 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). ‼️MKALAMA INAKUWA KWA KASI IKICHOCHEWA NA..... __MIUNDOMBINU BORA YA BARABARA __UPATIKANAJI WA HUDUMA MUHIMU ZA KIJAMII __UKARIBU WAKE NA MJINI & OFISI ZA UMMA/BINAFSI.. __UKUAJI WA THAMANI YA ARDHI (Land Appreciation).etc... ‼️Je? Unaitaji Kiwanja MKALAMA? __Ninauza viwanja Mkalama Vyenye Ukubwa kuanzia SQM 500 hadi 1500. _Bei zinaendana na Status/uzito wa Mtaa... Npigie/Wtsp 📞 0749726656. #franklinviwanjadodoma #viwanjadodoma #mkalama #viwanjamkalama