Alhamdulillah that was my husband ,Allah ampe kauli thabit😭
2026-10-03 20:14:12
28
nanadee925 :
apo Kwa kusaidia kazi za nyumbani itoeni kabisa mtu ukimwambia kusaidie anakwmbia ni mambo ya wazungu😂😂😂
2026-10-03 18:08:36
2
Teetee :
MashaAllah Mengi Ya Hapo Tunayafanys Allah Atuzidishie Upendo kati Yetu
2026-10-02 18:02:55
10
user7093839597125 :
mwenyezimungu nijaaliye mm nikayempata awemiongoni mwao ishaalah🥰🥰🥰
2026-10-02 17:16:25
13
GWAMIE :
huo muda wamimi kulala kwenye mapaja yamke wangu unapatikana wapi? nawakati wanawake nawanaume nihamsin kwahamsin nyumban wote mnarud saa4 au saa3 usiku
2026-10-03 09:36:44
5
mamu rama :
mashaallah mume wangu katika hili amepatia vyot Allah azid kumuongza inshallah kwawenye kufaur
2026-10-03 20:34:21
8
Bint Magongo :
This is my husband Alhamdulillah
2026-10-03 13:37:08
5
mrs someone :
hakuna ata moja muda kama yupo vitani
2026-10-02 17:00:40
7
Saerin bae7 :
Allahumma Ameen 🤲 inshaallah 🙏
2026-10-02 19:50:13
3
Sherabwii🤪 :
ana moja tu ambalo ni no.2😂
2026-10-03 04:08:47
4
leyla :
japo hakuna hata moja 🥹
2026-10-03 05:05:05
2
Hans Tumwesige🌍 :
wa kwangu anayatimiza yote mashaaallah
2026-10-02 19:37:34
4
Rahima Kenzo :
Mie vyote hatuna sunna kubwa alofanya ni kuoa
2026-10-03 13:14:32
3
🥰❤️mom saalim🥰❤️ :
ameen inshallah
2026-10-03 00:10:57
1
shamilasahiza508 :
mh hakunaaaaa
2026-10-04 06:40:29
1
mamuually7 :
alhamdhullilah
2026-10-03 04:37:50
1
user102218277344 :
mashallh alhmdllh shkran yarrab vyote ktk ndoa yetu vipo na Zaid ya hivo
2026-10-04 20:15:49
3
MK :
Wake hawa hawa wa dunian au wa pepon em nieleweshen ap
2026-10-03 04:35:09
2
sophy ram :
analo moja tuu hapo
2026-10-02 16:50:22
4
samyrah:☺️🍁 :
Namba sita nimeipend zaid
2026-10-09 07:14:41
3
OFFICIAL**RAL96$$@#💗💗👇👆✌️ :
namba 4 cjaelewa vizur hivi nikweli🧐🧐
2026-10-03 09:04:26
3
Doctor charming :
nislim sasa
2026-10-03 14:12:06
2
HEENA LADY ARTIST... :
mke mwenzangu hataki na huyo mume
mwenyezimungu atanipa wangu wa kheri inshaallah...
2026-10-03 04:36:34
3
To see more videos from user @saidseleman735, please go to the Tikwm
homepage.