@sheikhshariffjangri: Replying to @asha noro #tanzaniantiktok🇹🇿 #uk #usa🇺🇸 #dubai🇦🇪 #worldwide

sheikhshariffjangri Alqahsawiy
sheikhshariffjangri Alqahsawiy
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 13:29:03 GMT
8643
491
44
17

Music

Download

Comments

ibrahimzuberi193
Ibrahim Zuberi :
kwell shehee
2026-10-02 15:37:40
0
marie_osc
𝓜𝓪𝓻𝓲𝓮𝓞𝓼𝓬🦋 :
Sheikh Asante kwa kipind 👍🏾😂
2026-10-05 22:09:18
0
user6885375263081
salima :
shehe upo wapi
2026-10-08 15:52:05
0
sophiaali655
Sophia Ali :
ndio mm lakini Kuna ustadh Fulani aliniwahi Hadi imefifia sahii
2026-10-02 16:34:42
0
halima.noti0
Halima Noti :
me naumwa na kichwa sana nina mdaaa upo wap nijee
2026-10-02 17:03:26
0
omarabdlurasu
king_omar :
Hiyo ya chizi ndio mie mpaka nachoka nawaogopa maana chizi ndio chizi kila nikienda sokoni lzm wanisumbue kwa kuniomba ila nawaogopa
2026-10-03 18:55:17
1
rizikinzao
rizikinzao :
Biashara tukifingua zafifia
2026-10-07 10:18:16
0
jackilinekennedy9gmail.c
jackline mariki :
mimi hapa jaman
2026-10-04 13:46:04
0
rashid.khamis.ras
Rashid Khamis Rashid :
assalaa aleikum sheikh ,kuna chizi anakuja sana kununua kwenye biashara yangu, kuna mwingine anapenda kuja kuniomba pesa
2026-10-07 06:33:09
0
user8461727984372
user8461727984372 :
hata nikiwa na watu wengi anakuja mtu ananilenga Mimi kuomba ,nikimwambia naenda kwa yule anakwambia nakuomba wewe Hadi nashangaa
2026-10-04 16:16:27
0
zou.ally
zou ally :
Kunasiku nimetoka asubuhi natembea kunachizi akawa ananisalimia kwafuraha huku akisifia we mzuri Naomba namba yk Yakima alafu kuna boda akawa Anapita akampazia saut nakumwambia oya huyo shemeji yak mim nikawa najiuliza kimoyoni chiz ananiomba namba 😂😂
2026-10-08 11:22:55
0
user167828609002
@khamis_2008 :
huyu nimm
2026-10-06 04:47:44
0
user1729913774516
Nachaki :
mm huwa nawaogopa nakuwakimbia nanikiwa nachenji nampa kwakumrushia
2026-10-08 08:09:26
0
ibrahimjumakham25
Professor's Silence💯. :
Hiyo inanitokezea sana
2026-10-05 21:41:19
0
cuterazan1
Hazan hanim :
ndio mm Niko hvo shekh machizi Sanaa wananipenda
2026-10-08 09:29:30
0
masoudkatala
Bismllah :
aslm alykm mm xheh naumw mwil wang kun mud unakuw sw kun mud naumw nakuw watofaut yn dunia sielew nikifumb mach naon vitu vy oyo ovy alf kun mud napt
2026-10-02 14:25:55
0
fety.mau
fety mau💚💕 :
mi nilipigwa Kofi na chizi
2026-10-05 14:31:33
0
user7629845657335
user7629845657335 :
mm alikuka huyo chiz akaniomba maji siku ingine akaniomba hela nikampa akafurah na kuondoka Allah kanijaalia sahiv mjamzito Alhamdulillah
2026-10-06 03:53:49
0
ibrahimjumakham25
Professor's Silence💯. :
mm nikifika dukani wateja hujaa kinoma duka lolote lile. iyo zamani sana na vita vingi sheikh....
2026-10-05 21:42:28
1
abdoulsendegeya
Abdoul Sendegeya :
niwukwel kbs
2026-10-07 19:53:21
0
hamisimwasinago77
Hamisi Mwasinago :
afwan
2026-10-05 06:21:21
0
sheshe.kwemayogwe
Najma sheshe :
kweli
2026-10-04 09:31:18
0
dax.xxx48
DAX ~XXX :
jamani
2026-10-04 09:19:55
0
saidkhamiss0
mayah mtoto wa mama :
mm pia uwa naumwa n kichwa sana
2026-10-03 10:29:23
0
masoudkatala
Bismllah :
hofu ghlf t mwil wng km unasukumw nikilal nikitembea sielew nixhaend hosptl natumia dwa bd
2026-10-02 14:27:01
0
To see more videos from user @sheikhshariffjangri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About