@dezanzibar93: MATENDO YA HURUMA KWA JAMII. Kwa Atayewiwa na kuunga mkono jitihada za fande Elihuruma Juma Mussa katika kufanikisha kukamilisha ujenzi wa Bibi. 0794881911 Elihuruma Juma Musaa #fyppppppppppppppppppppppp #viral?tiktok❤️❤️ #zanzibar #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral

Dezanzibar93 🇹🇿
Dezanzibar93 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 13:51:29 GMT
27814
1440
239
33

Music

Download

Comments

baghabagha.ingwen
Baghabagha Ing'weng'we :
be blessed
2026-10-03 02:11:10
0
user259471639752
Ronaldo Edom Mwansasu :
One love champion baba ume tisha mola aku zidishie
2026-10-03 04:55:19
1
eliya.meshack3
ELIMEKA @0204 :
Nmeshagaa sanaa kumb kuna mahaskalii wenye rohoo za ubinadamu kama hviii
2026-10-03 05:31:11
3
user9628519740591
Black _Heart🪖 :
✌️afandee
2026-10-03 05:17:14
1
mkombozi532
J, J :
hatuwaamin polic kamwe
2026-10-03 04:58:40
1
user5719787619566
Little Heroe :
ubarikiwe sana kaka
2026-10-03 05:00:26
1
mubaratach
officialmubangatz :
mungu akusaidie
2026-10-03 05:12:18
1
user3596115813926
ole Langee :
mungu akupe nguvu
2026-10-03 04:53:34
1
stepsjoh
🔥🔥🔥Stin :
sasa tukipatikana wadau wengine tukaanzia alipoishia kamanda ni poa sanaaa,tukatoa hizo dirisha tukaweka aluminum,na hata tukaboresha milango,plaster nyumba na hata kuweka umeme,kama hakuna access ya umeme basii solar panel
2026-10-03 05:33:50
1
kassimfarid
KASSIM FARID :
Polisi mnahutuu sana mungu akupe ulipo toa ila kinachoo wavuluga ni matapeli wakisiasa wana siasa ndio chanzo chayote maisha magum kwawote nakuchukiana sisikwa sisi[Pray][Red heart]
2026-10-03 05:26:25
1
roja.k.cee.t.z
LUHAMBA JR t.z :
police ni wengi ila wenye uadilifu ni wachache
2026-10-03 05:05:09
1
0799096780m
MOHAMEDI :
polis ni ndugu zetu kaka,zetu wajomba zetu wenge ni baba zetu kumchukia mtu kisa polic hlo nalo ni tatzo lako la kiroho,hongera kaka
2026-10-02 23:36:00
5
faridirashidi2
Faridi Rashidi1234 :
kwa myo uliouwonyesha ata mtoto wake anaweza asifanye ulicho fanya mungu akuongezee ulipo toa
2026-10-03 05:36:43
1
musty3029
Musty@$ :
mungu ameona sadaka yako 🙏🙏ubarikiwe sana
2026-10-03 04:28:56
1
kb_scol
Kb_scol :
huyu jamaa nilikuwa naye oljoro jkt anaroho nzuri sana apewe hata nyota 2021
2026-10-02 18:03:25
10
makambajohnmakamb
Makamba john Makamba john :
sio wote wabaya mung akubarik
2026-10-03 04:57:49
1
ngwamele5
gwamele :
mungu akulinde usiwe kama wale
2026-10-03 05:18:46
1
ally.lauma
ally lauma :
mimi kama mtanzania natamani polisi wetu wawe wetu kama hivi kaka wewe ni mzalendo wa kweli mungu akupe maisha malefu
2026-10-02 15:14:38
9
user259471639752
Ronaldo Edom Mwansasu :
Sana baba nakubali umeni fanya nilie kamanda daaah ila sema me mwanao sina ajila kaka nime pitia kozi ya jeshi la akiba ila sina mchongo wowote ule vp hauna namba ya watu wa maliasili ata nika jiunge kwenye makampuni ya utalii
2026-10-03 05:18:37
1
mohamedcheikh8164
Mohamed Cheikh :
ongera
2026-10-03 05:16:46
0
sarahlujenje7
BIBI AKE PROMISEMAUREEN :
kwakweli kuna nguvu nyuma ya kila jina, ubarikiwe sana kiongozi
2026-10-03 05:19:51
1
mch.filbert
MCH. FILBERT📖 :
huyo hakuwa kwenye Op ya october 29. ndo maana anaona mbali❤️
2026-10-03 04:06:20
1
user7045997003479
user7045997003479 :
ongera sana Mungu akuzidishie moyo wa upendo,
2026-10-03 04:20:15
1
user9081393184014
Meruland :
hakika najivunia sana huyu jamaa nilimfundisha mwenyewe jkt na hiki ndicho nilicho mfundisha asee Ely MUNGU akubariki
2026-10-03 04:29:12
3
jacksonmgeta
jacksonmgeta :
saruti
2026-10-03 04:35:53
0
To see more videos from user @dezanzibar93, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About