@taimediatz: #HABARI Content creator kutoka Afrika Kusini, Austin Mzukwa, pamoja na mwenzake, wameripotiwa kuzuiliwa kuingia Zanzibar baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume. Wawili hao walikuwa wamekwenda Zanzibar kwa ajili ya mapumziko na kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Mzukwa, lakini walizuiliwa baada ya kuhojiwa kuhusu uhusiano wao. Video inayosambaa mitandaoni inamuonyesha mwenzake Mzukwa akilia, huku Mzukwa akieleza kusikitishwa na tukio hilo lililokatisha safari yao kabla hawajatembelea maeneo yoyote ya utalii. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv
kwahiyo walipita Dar au hawakupita mnisaidie kwanza🥺
2026-10-02 19:11:28
65
sam :
Kinachomshangaza ni nini..!???
2026-10-02 16:52:45
60
Kisanga_Junior :
mwanzo nilijua n ommy dimpoz😂
2026-10-02 17:55:52
71
QUEEN MOTHER 👸👸 :
ALHAMDULILAAH. TARATIBUUUU INSHAALLAH TUTA MSHINDA JINI HILI LILILO VAMIA DUNIAA. ZANZIBAR ZANZIBAR ZANZIBAA. 🫡🫡🫡👍👍💪🏻💪🏻🤝🤝✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻💯💯💯💯💯💯💯
2026-10-02 15:51:01
134
@dullykhan,02125 :
polen but wht does u're sexuality Matter to them
2026-10-02 20:19:18
9
minah ndelele :
we are proud of zanzibar🥰
2026-10-02 16:43:30
104
Arkam watch ⌚️ :
l congratulation the staff of Zanzibar Airport for that situation, o God bless them 🙏
2026-10-02 20:29:38
60
Jackline🌸 :
This should always adding to the notice online during plane tickets process so they can help people to save the costs before arriving to the country. The plane cost, hotel reservations, insurances, etc this can be fair.
2026-10-02 23:40:14
18
Zeee❤️🌹💵 :
This is not right 😏
2026-10-02 18:54:54
6
lucy🌠 :
you better watch your back 😂😂
2026-10-03 06:24:07
3
Erick :
safi sana uhamiaji Zanzibar nime wakubali Kwa Hilo
2026-10-02 19:27:20
29
sakina :
thanx zanzibar
2026-10-02 21:28:21
1
Fragile Heartie :
so proud of you Zanzibar 🫡
2026-10-02 23:14:35
2
Blessed gal :
Thanks God for this
2026-10-03 07:43:07
3
Marta :
Zanzibar
2026-10-02 15:56:11
67
Joel Billy_🇰🇪 :
Zanzibar hongeleni sana🤲🏻
2026-10-02 18:47:33
19
Man Resa :
Nimependa watajamba sana
2026-10-03 09:10:34
7
Rose Kilango :
you better watch your back 🤣🤣🤣😭
2026-10-03 02:46:26
5
mahame :
Mbarikiwe Zanzibar
2026-10-03 05:18:40
5
Bwana mdogo :
Jamaa Kafanana na Ommy Dimponz Kweli
2026-10-03 05:39:03
6
kasara536 :
asante serikali hatutaki hayo
2026-10-02 18:19:04
18
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.