@zouiurembo: BANGLES BADO ZIPO DUKANI! ✨ Bangles za stainless, zenye rangi na designs tofauti tofauti. Zinakaa vizuri mkononi na unaweza kuchanganya na outfit zako kwa style tofauti. Jumla 5,000 kuanzia pcs 6 Rejareja 8,000 moja Usikose stock hii, bado zipo dukani. Tunafanya delivery na tunatuma mikoani. 📍 Kariakoo, kituo cha Congo cha daladala 📲 Order: 0650611801 #Bangles #StainlessBangles #ZouiUrembo #Accessories #Kariakoo