@mrs.inno228: SIFA ZA GROUP O - MA OVERTHINKER WAKUBWA 🩸😭 Tukubaliane hii ni kweli au sio kweli? 👇 Mimi ni No.3 na No.10 😭😭 Wewe ni namba ngapi? Mtag mwenzako wa GROUP O aje ajione 😂 #groupO #bloodgroup #overthinker #fyp #tanzania
Na huwa tunaongoza kwa kuchukiwa na watu bila sababu 🙌
2026-10-03 06:24:05
14
Johnson Kajumuro :
sasa hap kwa coment kila mtu ana sifa hizo
2026-10-03 10:50:13
2
Zuhie🌹 :
no 8 😂😂kit siez acha
2026-10-02 20:17:23
1
grace model :
well said
2026-10-02 21:07:03
1
navinn :
umesahau tunapenda kùla vizuri ,kulala sasa ndy stareh yetu no 1 ,kuvaa no 2 ,tukitoa hela ndiyo akili mpya ya kupata zaidi inakuja ila kama hutoi hela wew ni kutumiaaa tu
2026-10-03 08:32:13
7
Glory ❤️🔥❤️ :
Mbn Kama mm usiku nikianza kuwaza nalia some time naliaga bila sababu
2026-10-02 19:34:29
9
Allan Fizzo :
Asante kwaku amuwa kuni sema😔🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-03 08:43:00
1
Gracious mfinanga :
yaaan we ni mchawi kwann uje kunichunguza tabia zangu
2026-10-02 15:37:33
7
uniquegirl905 :
Mimi kabisa yaan Hadi Kuna mda najichukia🥺
2026-10-02 18:32:09
5
samya 😍😍 :
Umesahau yakujifungia ndan kwenye Giza kuosha au kufuwa ndani
2026-10-02 18:11:46
2
baby mama :
yani hizo zote ninazo mtu nikipenda alafu anikwaze uwaga nafuta namba alafu akipiga nanyamaza kabisa yani namtoa moyoni badae namrudisha aisee
2026-10-02 17:30:54
5
FROM FAR♈🇷🇼 :
duuh kumbe ndo maan nateseka daah🥹🥹💔
2026-10-03 04:43:32
1
Naynah Ake Haytham ♒️ :
ujanja wetu si uko mchana ikifika usiku kuna muda mpka unaliaa🥺 maumivu yote ni usiku
2026-10-02 18:21:27
5
Ney :
Muda huu nipo zangu macho saa 3usiku nawaza tu
2026-10-03 00:06:52
1
LUJA agustino :
Mimi huyo
2026-10-02 18:03:32
2
Zuu b@b¥ :
Ungenitaja na jina kabisa ungetisha
2026-10-02 19:23:18
1
BRASTAR4️⃣5️⃣⚔️ :
unanikenga mm kabisa
2026-10-02 18:37:18
1
mamuswai :
uwiiiiii🤦🤦🤦🤦mbona kama uko karibu na kichwa changu
2026-10-02 19:06:29
1
Unlimited hope :
usiku ndio adui yangu mkubwa
2026-10-02 16:26:18
1
hidaymanyika :
umesahau tunapenda kulia pia
2026-10-02 18:37:27
1
To see more videos from user @mrs.inno228, please go to the Tikwm
homepage.