@doktanature: Acid Reflux ni hali ambayo tindikali ya tumboni inarudi kooni na ksuababisha dalili kama; - Kiungulia - Radha mbaya mdomoni - Kuhisi kitu kimekwama kooni - Maumivu ya kifua kuwaka moto Hali huwa mbaya na hata kuhisi umerogwa pale ambapo complication zinakuwa nyingi kwa sababu ya ugonjwa au matibabu yenye.. kama - wasiwasi na woga - moyo kwenda mbio - ganzi - masikio kupiga kelele - maumivu ya kichwa - kikohozi kisichoisha nk Hapa ndipo unapotakiwa kunisikiliza.. Ukihitaji kupata ushauri zaidi karibu clinic kwetu Kinyerezi, Dar es salaam 0767759137 Take Care!

Dr Nature
Dr Nature
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 18:00:00 GMT
12687
374
30
33

Music

Download

Comments

manzyleah_17
manzyleah🇹🇿 :
jamani nimeteseka mimi khaaaa Yani acid reflux ungonjwa wa kuzimu khaaaa masikio yangu mpaka Leo yanapiga kelele vingine vimepungua
2026-10-03 08:51:29
3
juliethalois1
mom of two🥰 :
ilinikuta hiyo niliona nakufa
2026-10-03 17:31:33
0
brendamkandawire23
Brenda Mkandawire :
naomba msaada
2026-10-03 09:19:55
0
cosmashaule810
lizy lilo :
kwa nini amna matawi mikowani mm nipo kilombero morogolo amna matawi
2026-10-03 17:45:18
0
bint.mrema.tecla
Bint Mrema Tecla :
mi saivi ndo Niko nateseka jamani natumia Omeprazole na relcer
2026-10-03 19:16:47
1
masoudkatala
Bismllah :
mm nimetumia daw il bd
2026-10-03 05:53:04
1
user4166128426651
ester :
mim itabidi nifike tuuu oficen kwenu màaan naon kabisa nazidiwa hata sielew kabisa
2026-10-02 20:19:05
0
ellen.patrick75
Ellen Patrick :
kumbee asante kwa ushauri
2026-10-02 18:30:14
1
rubin.rnb
Rubin Rnb :
sisi tupo mbali tuelekeze kaka
2026-10-03 08:02:46
0
imeldambele188
imeldambele188 :
asant
2026-10-02 18:10:07
1
user3267342634326
DR :
asante
2026-10-02 19:14:53
0
agatha.mbwilo2
Agatha mbwilo :
Mmmm mimi nimeamini huu ugonjwa ni pepo sio hali ya kawaida duuuuu 😳😳
2026-10-04 12:40:20
0
user4186177245948
user4186177245948 :
nipo hatua iyo ya kuchanganyikia na kuhisi kufakufa
2026-10-03 21:10:25
0
sallyboe_369
sallyboe_369 :
yan masikio yangu yanasumbua nikidikia kelele nataman kukimbia
2026-10-03 19:06:08
0
hawamussa248
it's hawa😘 :
naomba namba
2026-10-03 16:58:15
0
user7311907795072
098345 :
naona kama nakufasasa MUNGU ani Sadie sana🙏🙏🙏
2026-10-03 15:26:43
0
henry01353
Princess @ :
Sasa nikuchanga manjano kiasigani na mafuta?
2026-10-03 12:36:21
0
juliethalois1
mom of two🥰 :
nilienda mpaka kwa mwana cycology nilikua nachanganikiwa
2026-10-03 17:32:37
0
aisha158758
Aisha :
manjano na mafuta gan
2026-10-03 18:05:22
0
user3822688148353
love :
naomba namba yako
2026-10-03 08:08:15
0
user935305077493
Halima :
👍👍👍❤️❤️
2026-10-03 09:26:28
0
To see more videos from user @doktanature, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About