@bbcnewsswahili: El Nino ya mwaka huu si suala la mvua pekee. Ni hali ya hewa inayoweza kuathiri chakula, usafiri, afya na kipato cha familia, huku athari zake zikitarajiwa kuendelea hadi mwaka 2027. Je maandalizi gani nyumbani kwenu na familia yenu mnapswa kuyafanya? @beldeenwaliaula anakutajia mambo 3 ambayo familia yako inapaswa kufanya sasa kuhusu El Nino #bbcswahili #elnino #haliyahewa #fyp #foryou
tunaiomba serikali ilipie hiyo alimino iwahi Ili tuendelee na mambo mengine mzee [Embarrassed][Embarrassed][Embarrassed]
2026-10-03 16:08:14
0
Mòhēngā :
THE IMPOSSIBLE 2006
2026-10-03 16:07:01
0
Margaret Musungu :
Where in Kenya
2026-10-03 19:01:38
0
SAMSUNG_AREATZ🇹🇿 :
TUNAISUBIRI KUNA JAMAA KASEMA ATAPAMBANA NAYO
2026-10-03 17:49:04
9
LastBorn :
nlnunua chakula chote kmeisha hata kabla ya El-nino
2026-10-03 18:21:02
8
🅜🅔🅢🅘'🅢 PAUL🍉 :
Na je tunaotoka ndo tule itakuwaje 😭😭😭
2026-10-03 17:10:45
10
𝗟𝗔𝗦𝗘𝗞𝗢 :
ijee tu maana mzee kila saa ananiuliza mbn haioniii,nawaza nimwambie imehairishwaa
2026-10-03 18:48:12
2
Ngalai stella :
Haiji acheni 😏
2026-10-03 18:49:17
0
𝔖𝔥𝔢𝔟𝔶🇹🇿 :
kwan el nino ndo hili jua la dar 😂😂😂 ama
2026-10-03 18:06:26
4
Seer EL Kanuti :
CHA KUJIANDAA:
1. UJAZWE NA UONGOZWE NA ROHO MTAKATIFU.
2. SOMA NA TAFAKARI NENO LA MUNGU.
3. ANDAA SHAMBA NA PANDA.
4. HAKIKISHA UNAMSHUKURU MUNGU KWA UZIMA ALIOKUPA.
ROHO YA MUNGU, IKAKAA JUU YA MAJI.
#SeerELKanuti
2026-10-03 17:25:01
11
ole karai🇰🇪 :
nature is mad
2026-10-03 16:17:35
0
leah :
MUNGU ajawah kutuacha watanzania hamna el mino kwa jina la yesuu 🙏
2026-10-03 17:46:25
6
It’s me Again 🇩🇰 🇩🇰 🥱🥱 :
Why only in East Africa 😏😏😏🥺😳😳
2026-10-03 17:01:54
0
D_TRONIX :
HUU MTANGAZAJI NAMPENDAGA SANA!
2026-10-03 16:12:49
2
AbobyDope :
mwezi wa kumi ndio huu inaaanza lini
2026-10-03 18:20:56
1
kamama🍒🌸 :
Mungu tuepushe na hili janga [Pray]
2026-10-03 17:20:05
2
bafe :
jamani si ije tumalizane mapema kwa maana hatulali
2026-10-03 17:21:24
0
akilikumkichwa :
Mbona inachelewa bhana aaah
2026-10-03 17:30:29
0
John khani :
inachelewa sana
2026-10-03 16:17:20
1
Bruce :
Ikowapi bana 😂😂😂
2026-10-03 16:30:24
4
💲it's phatemotion🌴 :
jamani tunaitaka elimino yetu sasa tutawaamisha vipi wazee wa mtaani kwe2 maan tuliwaambia kuna elimino 😁
2026-10-03 16:45:03
4
sauda salim :
M.MUNGU ATATUNUSURU
2026-10-03 17:19:41
1
ammon Jr :
Mna uhakika Elnino ni ya Mvua, mbona jua kali sana.
2026-10-03 17:22:07
1
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.