@hubofwisdom.inc: Ndoa yenye upendo, heshima na maelewano hujengwa kwa jitihada ❤️ Katika semina hii Madam Deborah Urio anashirikisha Silaha/mambo muhimu ambayo yanaweza kumsaidia mwanamke kuelewa namna ya kumtreat mume wake, kumheshimu, kumthamini na kujenga mazingira yanayokuza upendo ndani ya ndoa. 💍❤️ 🔔 Angalia H.W MEDIA kwa njia ya YouTube na kwa maudhui zaidi kuhusu mahusiano, ndoa, malezi, maendeleo binafsi na maisha 📲 Tunathamini maoni yako. Shiriki mjadala huu katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii: @hubofwisdom.inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media. Kushiriki mijadala hii kwa njia ya whatsApp tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794. . #NDOA #DeborahUrio #MarriageLessons #Ndoa #Mahusiano #MarriageAdvice #LoveAndMarriage #HubOfWisdom #PositiveVibes

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 15:40:08 GMT
90447
3553
73
752

Music

Download

Comments

rajabhamisi32
Harrrroooo :
ni kweli this is how I always teach her...but weeh Alikuwa na hasira sasa
2026-10-02 23:58:32
0
ustadhwatanzania
USTADHI WA TANZANIA :
labda sio mkurya wangu [Tears of joy]
2026-10-03 04:59:06
1
mrs.me598
miss reen :
Mmmmh nooooo
2026-10-03 04:48:44
0
edwinignas
Edwin Ignas :
tell them mama.
2026-10-02 21:26:32
0
gigomarshmello0108
gigo marshmello 🦅🦇🦉 :
😂😂 ngoja niwape namba ya mke wangu mmtumie hii clip
2026-10-02 18:56:49
5
cutemillah.emiry
Jamillah😍😍 :
ila wao kutulinganisha na wanawake wengine
2026-10-02 23:59:50
4
lizzyjames835
lizzy james :
anaongelea WA miaka iyoo sio WA saiv bna usinipoteze mama angu
2026-10-03 02:37:19
2
user14417200243605
Spare parts :
Mmh ila mafundisho shikamooo...
2026-10-03 03:50:34
1
hussrey
Reyna💫🇹🇿 :
Mama unazungumzia wanaume wa miaka yenu, sio hawa wa miaka yetu mmmh jmn🙌🙌🙌🙌
2026-10-03 02:24:23
1
user9800607037836
Espérance :
yes mmn
2026-10-03 05:04:39
0
misanyalyidia
Mrs somebody 😘😘 :
amen 🙏🙏
2026-10-03 05:27:42
0
wakatalinyemo
W,A,K,A,T,A,L,I .Moxy OG :
AMINA KUBWA MAMA
2026-10-02 18:34:48
2
ika_souvenir
ika_souvenir :
Mama wewe hujakutana na watu wengine uku hawako Kama hao mama !! Watu wanateseka uku
2026-10-02 19:35:07
1
user90881603477304
shaibu :
lisemwalo lipo dunian
2026-10-02 19:26:02
2
user2994580099617
J :
Amina 🤣🤣
2026-10-02 18:52:27
1
konde.boy617
Konde boy :
@People you may know: Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoMi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kus
2026-10-03 05:07:44
0
user54874053706921
Samuel kisesa de baba :
waonyeshe kweli MM
2026-10-03 05:26:20
0
mum.vainqueur
mum vainqueur :
merci na conseil
2026-10-02 15:43:49
2
misanyalyidia
Mrs somebody 😘😘 :
😅😅
2026-10-03 05:27:59
0
mackrina67
mnosy title :
Mama niombee msamaha. Sijafanya kosa aaah me ni mhehe 😅😅😅 mtanisamehe
2026-10-03 04:35:29
0
user51928292509584
PROF. BAYA WA MWERI :
Kweli dadangu. Ushauri mwema.
2026-10-03 05:25:51
0
kaviraveila
Kavira Veila :
ndiyo
2026-10-03 04:55:00
0
bargus_094phonehub
BONGE MUUZA SIMU :
gen z
2026-10-03 04:51:53
0
misanyalyidia
Mrs somebody 😘😘 :
mama umenifunza kitu 😅😅
2026-10-03 05:29:21
0
user9953442214353
Kangakolo :
amina
2026-10-02 20:57:47
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About