@dost.media.tz: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akizungumza kwenye hafla ya utiaji saini Makubalianonya ushirikiano kati ya Benko ya CRDB na Shirika la Umeme wa Tanzania (TANESCO) ili kuwawezesha Wananchi kuunganishwa kwa bei nafuu leo tarehe 02, Oktoba 2026. ____ Fuatilia#dostmediatz kwenye YouTube Channel #DostMediaTz na tembelea website www.dostmedia.co.tz kwa Habari, Makala, Michezo, Burudani, Uchambuzi na Mahojiano. #dostmediatz #dosthabari

Dost Media Tz
Dost Media Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 15:44:22 GMT
111913
5117
445
212

Music

Download

Comments

qis59916
qis :
smart metre zimeishia wapi?
2026-10-02 19:05:16
0
seza.j
Seza J :
Ni kama tumepata mtuuu sasa iv
2026-10-02 16:13:51
55
wazirikarim
Waziry Jr :
sis tunataka ukinunua umeme uingie moja kwa moja kwenye mita sio tena masuala ya kuanza kuingiza
2026-10-02 21:18:07
53
nasororashid4
Amani :
LE PRESIDENT
2026-10-03 09:19:23
0
ramad661
@ramadhan n_h :
Dukuduku langu ni hili hapa! mnaonaje mkajadiliana mkavumbua uvumbuzi mtu akienda kwa wakala kununua umeme au kwenye sim uwe unajiunga kwenye miter moja kwa moja bila kwenda kuweka kwenye miter maana hakuna kitu kinachokera unaenda kuingiza umeme usiku sms ya umeme iko kwenye sim na sim hio hio ndio unaotumia tochi kwa kuingiza umeme.Asant
2026-10-03 05:57:30
13
realjohnfeelings
John Tz :
mbona uyu jamani anatufaa ila watamuacha salama kweli
2026-10-02 19:38:27
24
user6422975538798
kimwanya :
nice boss u toke
2026-10-02 19:04:00
0
barackafransis56
Baracka Fransis :
apo umenena
2026-10-03 04:24:19
0
amosi.chacha62
Amosi Chacha :
point nzul saaaana
2026-10-03 03:24:41
0
mamy_tuu6
fahmi :
mimi mpinzani lakini kwa hili sitaki unafiki na mpa 100% mh kama uko kama mimi like
2026-10-02 19:53:58
40
john.baltazar30
jbm phone &accessories :
mnatuwazia umasikini tu
2026-10-02 20:32:37
10
michaelsospeter6
Fish :
fanyeni kushusha bei ya umeme kukopa sio kutatua tatizo
2026-10-02 16:51:08
16
sebegele
Sebegele :
Hakika wewe ni kiongozi!
2026-10-02 18:58:34
8
jeniphamasamu
Jenipha Masamu :
bora watukopeshe kodi ya nyumba
2026-10-02 18:51:04
15
geophreygodfrey
geophreygodfrey :
Badala mshushe bei ya umeme mnawaza kutukopesha umeme uliotengenezwa kwa Kodi za watanzania...
2026-10-02 19:59:17
10
mshaharajr
Mshaharajr92 :
Tia nia mkuu nina jambo na wewe 2030
2026-10-03 01:22:35
6
gerhard.sikali5
Gerhard Sikali :
waoooo!
2026-10-03 11:28:49
1
user20041225121020000318
feriha bay :
kama tu songesh siwez kulipa hiy ya tanesco nitalipa kweli
2026-10-02 21:10:34
5
thomaswadox
Thomas Wadox :
kama naanza kumuelewa
2026-10-02 16:40:14
9
tssabdun
Tssabdun :
hii ndio maana ya umakamu wa uraisi yaani inakuwa kama raisi kutatua changamoto za watanzania.huyu jamaa ni raisi kabisa ajaye yaani sijui alikuwa wapi siku zote.
2026-10-02 21:37:30
5
shangwe46
SHANGWE :
Kwanini Hospital musiweke mfumo wa songesha, ninapo umwa sina pesa nasongesha.
2026-10-02 19:38:57
14
mahfudhi34
Mr-Sk :
kwa vyanzo tulivyonavyo vya.umeme.tulipaswa kutumia.umeme bure.kama.congo
2026-10-02 20:44:53
2
user2327636557545
user22699633672 :
uko sahii kaka mkubwa rais wa badae kama ikiwezekana nakupa 5
2026-10-02 20:22:58
1
kalbayt
Kalbayt :
Mujue tu kuwa waislamu wanakataza RIBA so angalieni hilo
2026-10-03 05:59:46
3
dennicesilayo
dennicesilayo :
mwazoni nilikua nawasiwasi sana na wewe
2026-10-03 04:56:09
1
To see more videos from user @dost.media.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About