muda wakampeni wakwanza kupiga makelele ccm mbelekwambele
2026-10-03 04:30:56
7
lugembe :
mama uyoooooooo my
2026-10-03 06:26:13
0
maisha & maisha yajayo :
kasema yote 100%🙏
2026-10-03 09:38:40
2
user1787496088709 :
mama chukua mauwa yako hongera sana mungu atajibu.maombi yako
2026-10-03 07:39:05
2
Fetty_Mickiy :
mama umeongea point sana mie apa mpaka nalia yan
2026-10-03 11:03:38
1
Chacha Nyabale :
mama umeongea poiti sana ila hawawezi kutuelewa walikuwa wanatujaza kwenye mikutano yao leo wanatufukuza inatufanya tumkumbuke magufuri
2026-10-03 03:21:48
2
Salum Simba :
mama lina hakili sana
2026-10-03 03:57:26
2
® :
Acha tuisome namba.
2026-10-03 04:04:39
2
mex coterz :
mlitaka
2026-10-03 06:53:50
1
salha lddy :
umeongea ukweli dada kama mimi nimepambana mwanangu kamaliza fomx anatakiwa aende chuo nafanya biasha ndogo ndogo hpa ata pakuanzia spajui kwaivo mwanangu mwakauu atoenda chuo umaskin mbaya sana jaman
2026-10-03 08:47:25
1
King Rich :
Moyo unauma basi tu mashuleni shida hospital shida makodi ndio usiseme kila siku wanabuni kodi mpya zote zinatuhusu sisi watu wa chini inauma sana cha ajabu nchi hii ina madini kila kona mbuga za wanyama bandari vyanzo mapato vipo vya kutosha lakini viongozi wakilala wakiamka wanatuangalia sisi tu maskini matajiri hawaguswi
2026-10-03 05:47:51
1
Shukuru :
kweli mama
2026-10-03 07:48:38
0
emmylian👩🦰 :
mama kaongea kwa hisia mpaka kanigusa, mama yangu kanisomesha kwa ndizi
2026-10-03 10:47:59
0
chopa :
kumbe uli wachagua
2026-10-03 04:32:04
1
Jailos King :
hiii nchi ishakua changamoto swala la gesi linaendeshwa kimya kimya wakati ni mradi ambao unaweza ukapunguza deni la taifa ata kwa 60% pia kuna swala la bandari linaendeshwa kimazoea wakati nalo linaweza punguza ata 40% wakati secta ya madini inayoendeshwa kimazoea nayo inaweza kuipa nchi pesa nyingi 2 ila sasa wasomi wetu na wanasiasa wetu wameona pesa tunayo sisi wananchi wenye maisha ya chini wakidhani wataendesha nchi kupitia sisi 2 kitu kitakacho ludisha maendeleo nyuma ya nchi hii tujitaidi kua wazarendo jamani
2026-10-03 11:00:22
0
Mwanne Kaguna :
Ina
2026-10-03 10:26:33
0
Titan :
Kuna jamaa alikuwa Mwizi, akabaatisha kupata mtaji mdogo na kuamua kuanzisha na umachinga. hajakaa sana kwenye utafutaji halali, anabomolewa biashara zake. Sasa anarudishwa kwenye kazi yake ya zamani.[Vergüenza]
2026-10-03 10:02:12
0
Liwalo na Liwe :
tutaongeq tu
2026-10-03 10:06:17
0
Basco 45 :
sindio ccm mliyo chagua pambaneni nayotu
2026-10-03 11:23:53
1
mahonda :
uyu mama alindwe jmn mahana kamaliza kila kitu lakin wanao usika uyu awawezi kumpenda jmn na mnao amini ivyo gonga kopa
2026-10-03 10:29:05
0
Rebeka Rebeka :
hongera kutuwakilisha
2026-10-03 10:16:52
0
Buthaynah :
Ni suala la muda tu kila mtu atafikiwa kwa wakat wake 😁
2026-10-03 11:30:12
0
kaspalemanuel :
wahambie aho
2026-10-02 17:58:09
0
To see more videos from user @kamongo32, please go to the Tikwm
homepage.