@nasseraltaie.media: — Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imebadilisha tarehe ya kufunga shule za awali, msingi na sekondari Tanzania Bara kutoka Desemba 4 hadi Novemba 13, 2026.  Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia tahadhari ya uwezekano wa mvua kubwa za El Niño zinazoweza kusababisha mafuriko. Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa, ameeleza kuwa hatua hii inalenga kulinda usalama na ustawi wa wanafunzi na walimu. Waraka huo umeanza kutumika rasmi Oktoba 1, 2026. #ElNino #WizaraYaElimu #Mvua #Elimu #Tanzania

Nasser Altaie Media
Nasser Altaie Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 16:25:53 GMT
74755
1233
122
200

Music

Download

Comments

kidilov
Felicidad Emily🥰🥰🥰 :
MUNGU ALIVYO MWEMA EL NINO HAITAKUJA TZ
2026-10-02 18:55:45
39
marthaenock03
marthaenock03 :
na sisi wa chuo turud mwakani bx😂😂
2026-10-02 18:38:18
12
user544319293187
G :
mnawakika ni elnino tyu au kuna kingine maan mh sio poa
2026-10-02 18:10:58
19
zuuhmamy5
zuumamy :
mpk shule zikifunguliwa tutakuwa tumeona kila rangi😂😂
2026-10-02 17:26:36
10
its_kamamah
its_kamamah :
Na wa vyuo turudi mwakani basi hata semester ya 2🥺
2026-10-02 18:47:18
5
artsan65
Artsan :
first year twende mwakani .bac
2026-10-02 21:34:53
0
ma.p755
ma p :
jamani ebu muwe mnaheshimu ada zetu basi yani nimetoka kulipa ada ata sijapoa mnaniambia mnafunga shule kweli
2026-10-02 17:53:27
9
ms.liih
Ms.liih :
sasa form 4 necta wanafanya lini😳
2026-10-02 18:23:15
2
mshashamshasha43
ilham majid :
mi naogopa natamani nirudi kwetu ila nd nimeolewa😭😭😭😭
2026-10-02 19:18:42
1
qeen.soph
Qeen Soph :
vp kuhusu darasa la 4 baada ya kumariza .mitihani yao waendelee na masomo tena kwann wasipunzike kama miaka ya nyuma
2026-10-02 21:05:48
1
mj15162
lizy🥰🥰 :
Ikikupendeza Mungu baba kikombe hiki kituepuke💔💔
2026-10-02 20:32:15
3
youngb794
wizard 🤑 :
na vyuo bc🥹
2026-10-02 18:03:50
6
theresia.mrosso8
Black g 597 :
mnaonaje wachuo turud mwakan maana tutakuwa tukizisaidiq familia kutoa maji ndan
2026-10-02 20:36:23
1
karibumediaznz
Karibu Media :
acheni kutaja mambo haya madokezo yetu ya Safari yapo kwa DG asije goma ku Saini😂🤣😂
2026-10-02 17:51:55
2
mimah.harith3
Mimah Harith :
wafunge tu hata kesho ila kwenye laki 6 hapo laki 3 wanitumie niwalishe wanafunzi hao kipindi cha likizo.
2026-10-02 18:32:58
5
aysher.nindi2
Aysher Nindi :
tunaumia sana wazazi tulolipa Ada hadi December
2026-10-02 18:30:44
3
jantry7
Ms-tip🦋🎀 :
Nasisi chuo itakuaje 😁😁
2026-10-02 18:24:31
0
el.nino.rain
El nino rain 🌧️ :
subirini kwanza mbona mnajiogopa
2026-10-02 18:59:12
0
demiry_
@cutemiih7 :
😁Na sisi wafanyakazi Si Hatuendi kazin 😂 Kiongozi ? 😁🫴🏼
2026-10-02 18:20:02
0
mrs.agogo31
Rey wa Agogo31💕💍❤️ :
Na sisi wa chuo au sio mwanafuz
2026-10-02 19:08:33
1
jackiejulius4
𝓙𝓪𝓬𝓴𝔂🖤 :
Msitusahau wa vyuo vikuu jmn [Innocent]
2026-10-02 18:15:03
1
jairax22
Prince Charming 🏆 :
Na sisi wafanyakazi Si Hatuendi kazin 😂 Kiongozi ? 😁🫴🏼
2026-10-02 18:17:44
1
regina.mallya1
Regina Mallya :
yani mimi siamini kama kuna iyo elinino! naamini kwa mwenyenzi mungu na hili litapita🤲🤲🤲
2026-10-02 18:54:45
1
naffy_mo
naffy_mo :
Sidhani kama hiyo el nino ni kuwaoa watu hofu tu
2026-10-02 17:47:21
2
merrisa447
merrisa :
mungu aturinde
2026-10-02 16:44:23
1
To see more videos from user @nasseraltaie.media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About