@millardayo_: Msanii wa Bongo Fleva, Rajab Ibrahim Kahali maarufu Harmonize, leo Oktoba 2, 2026 ameitikia wito wa kufika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), ambapo amesema hawezi kuweka hadharani mambo waliyojadiliana, ikiwemo kuhusu faini ya shilingi milioni 5. Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kikao hicho, Harmonize amesema, “Kilichozungumzwa ndani ni kheri BASATA wazungumze kwa sababu ni Baraza letu, sidhani kama ni busara kusema, lakini tumekuwa na mazungumzo mazuri sana, lazima tukubali kuwa BASATA ni Walezi wetu, kwa hiyo wakizungumza wao itakuwa vizuri zaidi.” #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Friday 02 October 2026 16:29:31 GMT
Music
Download
Comments
Imma Bessi :
GOAT wa mziki wa bongo fleva
2026-10-02 16:40:09
71
Jackline :
Kajala nae uyu mtu ndo anamtoaga machozi kweli
2026-10-02 17:46:12
15
lil Callie 🌹 :
aaah harmonize nachompendea han manen meng Yan...
2026-10-02 22:51:46
0
Mj yune🌸 :
Najua haiwahusu lakin naolewa
2026-10-02 16:33:21
15
abakama :
so so so so what?????????????
2026-10-02 23:26:03
1
UNIQUE JEWELRY :
Hii Media Haina Filter
2026-10-02 17:58:42
1
mom venerand :
raaaaaaaaaajiiii
2026-10-02 19:50:01
0
®️🅰️Ⓜ️🅰️🅾️ :
harmonize akimaliza mwambie aje anione
2026-10-02 16:40:36
4
Juma Malemi :
Rajabu you look matured with money and power mashaallah usimuache Allah❤️
2026-10-02 21:08:41
1
DAVJACK :
Wasanii wanajibu vizuri zaidi ya AI
2026-10-02 18:15:39
9
Naylah😍 :
5/5
2026-10-02 17:36:09
2
Mrs ____muu ❤️❤️💍 :
nampend harmonize 🥰
2026-10-02 17:07:25
3
innocent Kessy :
broo.media tour ipi mbona atujaona interview yoyote zaidi ya shoo moja to
2026-10-02 19:25:29
2
Jackline Katarama :
Zingatia kizunguu 😍😍
2026-10-02 17:33:11
6
officialcharles :
100/100 nalipa kwauaminifu
2026-10-02 19:29:27
1
jay mergorsy :
@El Niño:ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎
︎No internet connection. Tap to retry.
Connect to the internet and try again.
︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ︎ ᅠ ︎ ︎ ︎
2026-10-02 18:55:12
1
RASTONY💂 :
forever konde boy
2026-10-02 16:36:27
2
Tanzania daily tours & safari :
2018🥺🥺
2026-10-02 18:29:58
2
kitojo :
pole sana kaka🥰🥰🥰
2026-10-02 18:42:25
2
AMANI FUNDI TZ COMEDIAN 🧢 :
noma sna
2026-10-02 16:34:27
3
Erick stone 🇧🇮 🇳🇴 :
2026-10-02 16:34:07
4
Central kizzy 🎃 :
Wakwanz kaka💯💯💯
2026-10-02 16:35:32
3
loveness🥰 lavie :
ila wasanii kwenye simu zao wazur live sasa[Tears of joy][Tears of joy][Snicker][Snicker]
2026-10-02 17:59:22
2
Braxyommy! :
wakwanza tena Leo
2026-10-02 16:35:00
2
QALLY BREEZY :
Tanzania kama nchi inabidi ifungie nyimbo zote zisipigwe Tanzania sio za bongo tuu hata za nje zifungiwe sio za bongo tuuh maana zinapigwa nyimbo za kina chris brown zipigwe na watu wanavaa chupi ila bongo zifungiwe
2026-10-02 18:30:27
2
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.